Simba SC bado mnaendelea na 'Upuuz'i wenu ule ule. Sandaland na Vunja Bei ni wana Yanga SC tupu

Simba SC bado mnaendelea na 'Upuuz'i wenu ule ule. Sandaland na Vunja Bei ni wana Yanga SC tupu

Unajua kuwa GSM ni Simba kabisa?. Tunaomjua toka anakuwa Ni shabiki wa Simba
 
Miaka ya 90's sikumbuki vizuri ila ule mwaka Yanga ya kina Lunyamila walichukuwa kombe la CECAFA Yanga iliishiwa pesa kabla hata ya nusu fainali kuna kiongozi wa Simba nimemsahau aliwakopesha Yanga dollar 20,000 ili ziwasaidie na mwisho wa siku Yanga ndio ilibeba ubingwa.

Tundu Lisu alipopigwa risasi pesa za kikosi ndege kumuwahisha Nairobi alitowa mbunge wa Ccm Zanzibar marehemu Turky.
Hiyo picha atasema ahmed ally anaihujumu timu. Yaani anafikiri mpira ni uadui kama wa chatu na mbwa.
 
Unajua kuwa GSM ni Simba kabisa?. Tunaomjua toka anakuwa Ni shabiki wa Simba
Hakuna tofauti kati ya Simba na Yanga, timu zote mbili mmiliki wake ni mmoja, wewe ndio unachaguwa ushabikie ipi.

Mtibwa sugar na Kagera Sugar tofauti yake ni nini? Si kina Bysal hao? Ukija side B Bysal ni mwanachama wa Simba.

Asiyejuwa mambo haya ndio ataumiza kichwa.

Kuna wapumbavu kama Manara walistahili kufungiwa maisha kujihusisha na soccer ndio wanatuletea ujinga ujinga kwenye mpira.
 
nilitegemea nikute mnajibu hoja kuhusu suala la sandaland na Simba nyie mnatoa hoja tofauti tu mara tuzo mara hana akili daah wazazi somesheni watoto
GENTAMYCINE hapa JamiiForums huwa naeleweka vyema na Watu Intelligent kama Wewe, Bila bila, Dr Matola PhD, Bujibuji Simba Nyamaume na baadhi ila Wapumbavu waliojazana hapa huwa hawanielewi na kamwe hawatokuja Kunielewa.
 
Basi mpeni hiyo tender Mo Dewji au Muchacho group.

Usichokijuwa Sumba na Yanga ni timu ya mmiliki mmoja, ni sawa na National na Panasonic au Hitachi na TCL.

Hili somo tumewafundisha kwa muda mrefu hamtaki kuelewa.
Nani huyo mmiliki
 
Hakuna tofauti kati ya Simba na Yanga, timu zote mbili mmiliki wake ni mmoja, wewe ndio unachaguwa ushabikie ipi.

Mtibwa sugar na Kagera Sugar tofauti yake ni nini? Si kina Bysal hao? Ukija side B Bysal ni mwanachama wa Simba.

Asiyejuwa mambo haya ndio ataumiza kichwa.

Kuna wapumbavu kama Manara walistahili kufungiwa maisha kujihusisha na soccer ndio wanatuletea ujinga ujinga kwenye mpira.
Leo umeongea ukweli kuna watu wanatuamulia maisha yetu yaendeje
 
Simba ishapata pesa zake, yeye alete jezi, asilete ni shauri yake.
 
Sisi Watu wa Mpira na Watu wa kuyajua mengi ya ndani na yaliyojificha tunajua kuwa Mdhamini wa Jezi Vunja Bei hakuwa mwana Simba SC na hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi Sandaland nas pia siyo mwana Simba SC (japo analazimisha aaminike hivyo) ila nae ni mwana Yanga SC mzuri tu.

Kuna Mambo ya ndani kuhusu hizo Jezi yalifanyika na Maadui wa Simba SC baada ya Mdhamini wa zamani Kushirikiana na hao Maadui zetu na naamini hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi za Simba SC nae atapita mule mule huku akitumika na hao Maadui zetu kuweza Kuiumuza na Kuihujumu Simba SC.

Na kwa Upuuzi huu wa Awali kabisa uliofanyika kwa kumpa Udhamini wa Jezi mwana Yanga SC aitwae Sandaland (ila mwana Simba SC wa Usoni tu) na hawa Wachezaji wabovu wanaenda Kusajiliwa Simba SC GENTAMYCINE natangaza mapema hapa kuwa Yanga SC anabeba tena Makombe yote kwa Msimu ujao.

Simba SC kuna matatizo makubwa!!!
Vunjabei hajawai kua YANGA labda kama CCM na yanga ni associated entities..........

Nawasilisha

Wasalaam 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

😊😊😊😊😊😊😊😊
 
Simba SC ( hasa Uongozi na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi ) wangenitumia GENTAMYCINE au basi hata kama hawanitumii kwa Kutokutaka Kwao basi angalau wawe Wananisoma hapa JamiiForums na Kunielewa nina uhakika wangekuwa mbali mno kuliko wanavyodhani. Nimesikitika sana kwa kuamua Kuruka Mkojo ( Vunja Bei ) wa zamani na Kukanyaga Mavi ( Sandaland ) wa sasa.

Na niwaambieni Watu wa Simba SC kuwa msitegemee Jipya kwani ndani ya Simba SC bado kuna Virusi Watatu ( 3 ) wa Kutumaliza na Mmoja mnamjua vizuri tu.
LIKUD njoo ujionee vituko
 
Du unataka viongozi wa benchi la ufundi wa simba wakutumie? Dah kazi kweli kweli mwanaume anaomba kutumiwa kwa nguvu . Haya kaniripoti kwa mods wanipige life ban maana nimechoka kusoma vituko aisee mtoto wa kiume anaomba kutumiwa tena hadharani
 
We lijinga kweli, nani ata risk mabilioni yake kwa nia ya kuhujumu timu?
kuna watu uwezo wenu wa kufikiri ni pungufu sana.
 
Back
Top Bottom