Simba SC bado mnaendelea na 'Upuuz'i wenu ule ule. Sandaland na Vunja Bei ni wana Yanga SC tupu

Unajua kuwa GSM ni Simba kabisa?. Tunaomjua toka anakuwa Ni shabiki wa Simba
 
Hiyo picha atasema ahmed ally anaihujumu timu. Yaani anafikiri mpira ni uadui kama wa chatu na mbwa.
 
Unajua kuwa GSM ni Simba kabisa?. Tunaomjua toka anakuwa Ni shabiki wa Simba
Hakuna tofauti kati ya Simba na Yanga, timu zote mbili mmiliki wake ni mmoja, wewe ndio unachaguwa ushabikie ipi.

Mtibwa sugar na Kagera Sugar tofauti yake ni nini? Si kina Bysal hao? Ukija side B Bysal ni mwanachama wa Simba.

Asiyejuwa mambo haya ndio ataumiza kichwa.

Kuna wapumbavu kama Manara walistahili kufungiwa maisha kujihusisha na soccer ndio wanatuletea ujinga ujinga kwenye mpira.
 
nilitegemea nikute mnajibu hoja kuhusu suala la sandaland na Simba nyie mnatoa hoja tofauti tu mara tuzo mara hana akili daah wazazi somesheni watoto
GENTAMYCINE hapa JamiiForums huwa naeleweka vyema na Watu Intelligent kama Wewe, Bila bila, Dr Matola PhD, Bujibuji Simba Nyamaume na baadhi ila Wapumbavu waliojazana hapa huwa hawanielewi na kamwe hawatokuja Kunielewa.
 
Basi mpeni hiyo tender Mo Dewji au Muchacho group.

Usichokijuwa Sumba na Yanga ni timu ya mmiliki mmoja, ni sawa na National na Panasonic au Hitachi na TCL.

Hili somo tumewafundisha kwa muda mrefu hamtaki kuelewa.
Nani huyo mmiliki
 
Leo umeongea ukweli kuna watu wanatuamulia maisha yetu yaendeje
 
Simba ishapata pesa zake, yeye alete jezi, asilete ni shauri yake.
 
Vunjabei hajawai kua YANGA labda kama CCM na yanga ni associated entities..........

Nawasilisha

Wasalaam πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

😊😊😊😊😊😊😊😊
 
LIKUD njoo ujionee vituko
 
Du unataka viongozi wa benchi la ufundi wa simba wakutumie? Dah kazi kweli kweli mwanaume anaomba kutumiwa kwa nguvu . Haya kaniripoti kwa mods wanipige life ban maana nimechoka kusoma vituko aisee mtoto wa kiume anaomba kutumiwa tena hadharani
 
We lijinga kweli, nani ata risk mabilioni yake kwa nia ya kuhujumu timu?
kuna watu uwezo wenu wa kufikiri ni pungufu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…