NAHAL
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,670
- 3,281
Wapo na ile submarine ya Ocean gate!!sasa wanapumuaje chini ya maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo na ile submarine ya Ocean gate!!sasa wanapumuaje chini ya maji
Raja na alahly wao wanasajili kutoka wapi? Acha ujinga.Sidhani kwa wachezaji hao kama wataweza kuwasaidia kufika hata robo fainal ya caf baada ya kusajili wachezaji wenye experience kutoka alhaly au raja mnatoa wachezaji kweli ligi ambayo hata haijulikani soka letu kimataifa litabaki kuwa nyuma always kwa sababu ya ubahili na kusajili kwa kubahatisha kama mlivyobahatisha mickson
Uzii huu ntaonana nao masiku na masaa kama haya mwakaniii👆🏿.