Simba SC irekebishe upesi sana 'Mapungufu' ya hawa Wachezaji Watatu Inonga, Sakho na Morisson kwani yanaigharimu Timu

Morrison ni mwizi wa magari

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Uzi huu nimewaandikia Wana Simba SC na Wanamichezo Werevu ( Intelligent ) pekee na haukuwa kwa ajili yako Wewe Mpumbavu Mwandamizi ( Senior Damn Fool ) na wale Wenzako kadhaa mliochangia huu Uzi wangu sawa?
Mimi ni mwanasimba. Lakini mzee unapiga kelele mno kama mwehu.
 
Inonga kucheza namba zaidi ya moja, Hilo hata Mimi nimeliona, ingependeza akatumika Kama kiungo no 6, juu ya Wawa na Onyango, au kiungo wa juu, akisadiana na Lwanga.

Morrison- Ana jina kubwa kuliko kiwango chake, toka amefika Simba mchango wake kwenye timu ni mdogo Sana, hasa ukizingatia ni mchezaji kutoka nje. Ikitokea akaachwa- Hakuna Madhara.

Sakho- Ni mchezaji mzuri, sio muoga, anajiamini, tatizo papara, anaharaka Sana huyu kijana, akitulia atatusaidia sana

Wawa- pamoja na mapungufu yake kwa Sasa, hasa mipira ya juu na ku- tacle, Wawa bado ni mchezaji mzuri, labda Kama wataleta beki mwingine.

Bwalya- huwa simuelewi kabisa huyu

Mzambia, kwangu mimi hata akiachwa , sawa tu.
 
Tuma salamu kwa watu watatu.....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Waachwe Wote tu ila siyo Rally Bwalya.
 
Mimi ni mwanasimba. Lakini mzee unapiga kelele mno kama mwehu.
Hakuna Tusi Jipya hata moja Kwangu na Wewe Kuniita Mwehu hakunipunguzii Baraka zangu zote nilizopewa na Mwenyezi Mungu sana sana nazidi Kuwashangaa Watu mnaonichukia JamiiForums lakini Kutwa tu mnanifuatilia.

Na najua umenitukana ( umeniambia ) Mimi Mwehu ukijua kuwa GENTAMYCINE nina Hasira na sitovumilia ili nami nikujibu kwa Kukutukana halafu haraka sana uwahi Kuniripoti kwa JF Moderators na nipewe BAN ili Mkakati wenu wa Kutoiona ID hi pendwa na 'Brand' hapa JamiiForums ikiendelea kuwepo.

Natural Charm yangu inawateseni sana.
 

Hapo mwenye shida ni Morrison pekee yake. Kumbuka Henok inonga alikuwa beki bora ligi ya DRC hivyo sifa tayari anayo na Wala haitaji sifa Ni great player hivyo lazima aoneshe yeye ni great. Kuhusu Sako huo ndio uchezaji wake tangu kwenye ligi yake na hawezi kubadilika. Kumbadilisha hapo ndio utamuua. Kuhusu kujisifu hiyo ni perception yako lakini hilo sijawahi kuliona kwao labda Morrison pekee.
 

Acheni majungu. Henok Ni mchezaji mzuri Sana. Alikuwa beki bora ligi ya DRC msimu uliopita. Hivyo sifa ameshapata na anastahili kuonesha yeye ni experienced pale makosa yanapotokea.

Kuhusu Sakho, huo ndio uchezaji wake huwezi kumzuia. Kumzuia kucheza anavyocheza ndio mtamkataa. Kwanza anasumbua mabeki kitendo kinachofanya concentration iwe kwake na opposite team, hivyo mkimpata mchezaji mwingine Kama yeye mabeki watazidiwa.
 
Wewe nikuchukie kwa lipi mzee!? unapokosoa wengine uwe tayari na wewe kukosolewa. You are too negative Mzee.

Kwa haya uliyoyaandika leo umepuyanga. Nakuambia tena mara ya pili umeandika kama mwehu, huenda sometimes unavuta bangi ukiwa ndani ya choo cha shimo.
Nakushauri badilisha maeneo ya kuvutia bangi, jaribu kuvutia beach utapata mawazo mazuri.
 
Mimi ni Simba lialia ila niseme tu Sakho ni mchezaji machachari, sio mchezaji hatari.
Niliwahi kusoma comment kama hii ikimuhusu miquissone kipindi alipokua Simba ila mwisho wa siku tunajua alipo sasa.
 
Hii comment naichapisha alafu naibandika ukutani nitakua naisoma kama Dua pindi niendapo kulala.
 
Hii comment naichapisha alafu naibandika ukutani nitakua naisoma kama Dua pindi niendapo kulala.
Mkuu nitakuwa mkali kwa mwanasimba yoyote atakayemsema vibaya Inonga....
Anafurahisha sana, Ni beki zile zenye akili..
Akipona lwanga, Simba tutakuwa na ukuta mgumu ever ( Inonga na Onyango mbele DM wao ni Lwanga).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…