Simba SC kucheza mechi 3 za Kimataifa za Kirafiki kujiandaa na michuano ya CAF na Ligi Kuu

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Klabu ya Simba [emoji1241] Wekundu wa Msimbazi Wataalamu wa kusakata Kabumbu la viwango vya CAF, wanatarajiwa kusafiri kwenda nchini Sudan kucheza mechi mbili za Kimataifa za Kirafiki dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana [emoji1110] Agosti 28, Al Hilal ya Sudan [emoji1232] Agosti 31, na mwisho kurejea Dar es salaam kucheza dhidi ya AS Arta Solar ya Djibouti [emoji1089] September 3, mechi hizi ni katika kujiweka sawa kujiandaa na michuano ya CAF na Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana

20220822_221313~2.jpg
 
Ndio hapo ile concept ya Simba kuwekeza jasho na nguvu kimataifa inapoonekana.

Pre season Egypty lengo likiwa kupata game fitness kwa ajili ya Club bingwa, na sasa wameamua kushiriki mechi za kirafiki ili kujiweka sawa zaidi.

Ni malengo mazuri na efforts tunaziona na ndio maana hata inapotokea tunashindwa kufuzu huwa tunachukulia kama coicidence kwasababu kila mtu ameona uwajibikaji wa timu.

Natamani siku moja Clubs zingine ifikie level hizo za mawazo, ziache kufikiria ushindi ni kumfunga Simba nakuchukua kikombe cha ndani.
 
Sisi yanga hatujaenda pre season tumemfunga na hatuchezi mechi za kirafiki tunamsubiri tena simba tumfunge hyo ndo furaha yetu huko kwingine hatuna shida napo alisikika utopolo mmoja.
 
Ndani ya miaka michache ijayo, Simba itaanza kuwa na mashabiki wengi Africa nje ya Tanzania. Nadhani hayo ndiyo malengo.

Nasema hapa kila siku, Simba siku hizi hamuwazii Yanga kihivyo. Simba iko kwenye transition kubwa siyo tu ya kiuongozi na kiuwekezaji, hata kimtazamo.

Ndio hapo ile concept ya Simba kuwekeza jasho na nguvu kimataifa inapoonekana.

Pre season Egypty lengo likiwa kupata game fitness kwa ajili ya Club bingwa, na sasa wameamua kushiriki mechi za kirafiki ili kujiweka sawa zaidi.

Ni malengo mazuri na efforts tunaziona na ndio maana hata inapotokea tunashindwa kufuzu huwa tunachukulia kama coicidence kwasababu kila mtu ameona uwajibikaji wa timu.

Natamani siku moja Clubs zingine ifikie level hizo za mawazo, ziache kufikiria ushindi ni kumfunga Simba nakuchukua kikombe cha ndani.
 
Ndio hapo ile concept ya Simba kuwekeza jasho na nguvu kimataifa inapoonekana.

Pre season Egypty lengo likiwa kupata game fitness kwa ajili ya Club bingwa, na sasa wameamua kushiriki mechi za kirafiki ili kujiweka sawa zaidi.

Ni malengo mazuri na efforts tunaziona na ndio maana hata inapotokea tunashindwa kufuzu huwa tunachukulia kama coicidence kwasababu kila mtu ameona uwajibikaji wa timu.

Natamani siku moja Clubs zingine ifikie level hizo za mawazo, ziache kufikiria ushindi ni kumfunga Simba nakuchukua kikombe cha ndani.
Subiria waje kucheza na friends rangers na transit camp waje wawafunge tena simba uone hzo kelele zake.
 
Ndani ya miaka michache ijayo, Simba itaanza kuwa na mashabiki wengi Africa nje ya Tanzania. Nadhani hayo ndiyo malengo.

Nasema hapa kila siku, Simba siku hizi hamuwazii Yanga kihivyo. Simba iko kwenye transition kubwa siyo tu ya kiuongozi na kiuwekezaji, hata kimtazamo.
Upo sahihi kwa yote ambayo umenena yaani..!
 
Jipeni matumaini makolo kichapi kipo palepale lukeni lukeni tu
 
Ila wabongo kweli nyoso, saa hizi Yale makelele ya washabiki wa Simba hawamtaki Barbra na kocha yameisha kimyaaaaaaa. Hakuna Tena anayehoji bilioni 20 Wala mkataba wa vunja bei

Ama kweli kuwatawala watanzania Raha Sana.
 
Ndani ya miaka michache ijayo, Simba itaanza kuwa na mashabiki wengi Africa nje ya Tanzania. Nadhani hayo ndiyo malengo.

Nasema hapa kila siku, Simba siku hizi hamuwazii Yanga kihivyo. Simba iko kwenye transition kubwa siyo tu ya kiuongozi na kiuwekezaji, hata kimtazamo.
Na miaka onavyozidi kusogea kuna uwezekano wa Simba kutafuta mpinzani wake wa kimataifa yani mechi yenye kuvuta hisia za watu wengi
 
Subiria waje kucheza na friends rangers na transit camp waje wawafunge tena simba uone hzo kelele zake.
Na mwaka huu wasipofika hata hatua ya makundi sifikirii kama kuna shabiki wa Yanga atafurahishwa na mwenendo wa timu yake hata kama ikitokea kachukua ubingwa
 
Back
Top Bottom