Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Klabu ya Simba [emoji1241] Wekundu wa Msimbazi Wataalamu wa kusakata Kabumbu la viwango vya CAF, wanatarajiwa kusafiri kwenda nchini Sudan kucheza mechi mbili za Kimataifa za Kirafiki dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana [emoji1110] Agosti 28, Al Hilal ya Sudan [emoji1232] Agosti 31, na mwisho kurejea Dar es salaam kucheza dhidi ya AS Arta Solar ya Djibouti [emoji1089] September 3, mechi hizi ni katika kujiweka sawa kujiandaa na michuano ya CAF na Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana