Ndio hapo ile concept ya Simba kuwekeza jasho na nguvu kimataifa inapoonekana.
Pre season Egypty lengo likiwa kupata game fitness kwa ajili ya Club bingwa, na sasa wameamua kushiriki mechi za kirafiki ili kujiweka sawa zaidi.
Ni malengo mazuri na efforts tunaziona na ndio maana hata inapotokea tunashindwa kufuzu huwa tunachukulia kama coicidence kwasababu kila mtu ameona uwajibikaji wa timu.
Natamani siku moja Clubs zingine ifikie level hizo za mawazo, ziache kufikiria ushindi ni kumfunga Simba nakuchukua kikombe cha ndani.
Subiria waje kucheza na friends rangers na transit camp waje wawafunge tena simba uone hzo kelele zake.Ndio hapo ile concept ya Simba kuwekeza jasho na nguvu kimataifa inapoonekana.
Pre season Egypty lengo likiwa kupata game fitness kwa ajili ya Club bingwa, na sasa wameamua kushiriki mechi za kirafiki ili kujiweka sawa zaidi.
Ni malengo mazuri na efforts tunaziona na ndio maana hata inapotokea tunashindwa kufuzu huwa tunachukulia kama coicidence kwasababu kila mtu ameona uwajibikaji wa timu.
Natamani siku moja Clubs zingine ifikie level hizo za mawazo, ziache kufikiria ushindi ni kumfunga Simba nakuchukua kikombe cha ndani.
Kuiga nini mechi za kirafiki Simba ndio kaanza kucheza hapa duniani? au kipya kipi hapoHalafu kuna vijitu mwakani vitaiga na kujisifu
Yanga ameenda lini kucheza mechi za kirafiki nje ya nchi ukiacha zile za wakati wako kambini kwenye pre-season?Kuiga nini mechi za kirafiki Simba ndio kaanza kucheza hapa duniani? au kipya kipi hapo
Upo sahihi kwa yote ambayo umenena yaani..!Ndani ya miaka michache ijayo, Simba itaanza kuwa na mashabiki wengi Africa nje ya Tanzania. Nadhani hayo ndiyo malengo.
Nasema hapa kila siku, Simba siku hizi hamuwazii Yanga kihivyo. Simba iko kwenye transition kubwa siyo tu ya kiuongozi na kiuwekezaji, hata kimtazamo.
Na miaka onavyozidi kusogea kuna uwezekano wa Simba kutafuta mpinzani wake wa kimataifa yani mechi yenye kuvuta hisia za watu wengiNdani ya miaka michache ijayo, Simba itaanza kuwa na mashabiki wengi Africa nje ya Tanzania. Nadhani hayo ndiyo malengo.
Nasema hapa kila siku, Simba siku hizi hamuwazii Yanga kihivyo. Simba iko kwenye transition kubwa siyo tu ya kiuongozi na kiuwekezaji, hata kimtazamo.
Na mwaka huu wasipofika hata hatua ya makundi sifikirii kama kuna shabiki wa Yanga atafurahishwa na mwenendo wa timu yake hata kama ikitokea kachukua ubingwaSubiria waje kucheza na friends rangers na transit camp waje wawafunge tena simba uone hzo kelele zake.