Simba SC kwanini mnazubaa na kuwa wazembe hivi?

Weka clip hapa
 
Yanga mnawasingia, wakumuhofia ni Yusuph Bakheresa msimu huu hana masihala upande wa usajili. Chama mkataba unaisha June 2023 anzeni naye mazungumzo, huyo Feisal nae yupo kwenye rada zake.
Azzam ukichezea mechi zao mbili tu unakuwa umewamaliza hawana jipya

Mfano second round unawapiga Azzam alipigiwa na yanga na kutoa sare na simba tu biashara yake itakuwa imeisha Hapo!!
 
Asee kumbe nilikua nakuheshimu bure. Yan hii comment imenifungua sana macho kujua we ni mtu wa namna gani. Yan unataka kufananisha hao wazungu na sisi huku Africa. Yan mtu aache pesa nzuri na miundombinu bora ya kimpira na kimaisha aje kucheza kwenye viwanja kama kirumba na Manungu na kwenye maji ya mgao eti kisa anaipenda Simba? Bro are you okay au ulikua umeshatumia ile kitu yenu?

Hivi ni mchezaji atakataa kujiunga na Madrid ambayo unajua hautalipwa vibaya kama kuna timu ilitoa mpunga mrefu zaidi? Real Madrid bro anavuta mikataba ya kibiashara kibao chini ya mwamvuli wa Madrid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samatta katoka simba-mazembe-genk-aston villa-fernabance..taja mchezaji wa china unaemjua anaejulikana hata kwenye ligi ya scotland??,achilia mbali ligi ya england
Aishi miaka mia Mzee Rage, wewe ni Mbumbumbu ulie tukuka hivi ligi ya China unaweza ifananisha na ligi yoyote hapa Africa?
 
Kasome vizuri comment nilioquote
Nmekuelewa vizuri sana Ngasa ni mtanzania amekulia hapa anaweza kua na mapenzi na club za hapa lakini pia ujinga wa wachezaji wetu lakini leo huwezi niambia Manzoki mkongo anaipenda Simba! Kwa lipi hasa? Messi pamoja na kuipenda Barcelona yupo zake PSG anavuta hela ije kua Manzoki? Simba imemfanyia nini hasa mpaka aipende?
 
Kama ulikuwa unaniheshimu endelea kuniheshimu, heshima haiwezi kuvunjika kwa kutofautiana mitizamo.

Usinifanye niwe mtumwa wako wa kuandika kile unachokipenda wewe ili tu nikuridhishe kwa lengo la kuidumisha heshima yako kwangu

Maoni binafsi ambayo siyatoi kwa kum disrespect mtu hayawezi kuwa na indications ya kushusha heshima mbele ya rational thinker yeyote yule.

Pengine naweza nikafikiria kuwa busara sahihi kwa mtu anayekuheshimu ilikuwa sio kusema "kumbe nilikuwa nakuheshimu bure" (this sounds like ridiculous to me) bali busara ya kiuadilifu ilikuwa ni kukaa kimya

Unasema Africa mchezaji hawezi kuacha hela?

Hassan Bumbuli aliwahi kusema kuwa Yanga haiwezi kumsajiri Ibrahim Ajibu, kwakua aliondoka Yanga kutimkia Simba kwasababu yeye mwenyewe mchezaji alisema ana mapenzi na Club ya Simba, hafurahii kuchezea Yanga.

Hayo ni maneno aliyoyasema Bumbuli mwenyewe kipindi hicho bado ni Afisa habari

Huyo huyo Ajibu kama utakumbuka aliwahi kuitajika na Tp Mazembe, mkwanja kibao uliwekwa mezani huku Zahera akiwa ndio middle man lakini mwisho wa siku hakuenda Tp Mazembe akatimkia Simba ambako alipewa kandarasi ya miaka 2 akitanguliziwa M20. Na Zahera mpaka leo bado analaumu
 
Aishi miaka mia Mzee Rage, wewe ni Mbumbumbu ulie tukuka hivi ligi ya China unaweza ifananisha na ligi yoyote hapa Africa?

Taja mchezaji wa china unaemjua aliyecheza hata scotland ,au hata belgium au hata uturuki..usianze kuruka ruka kama unataka kukalia mbolo
 
Taja mchezaji wa china unaemjua aliyecheza hata scotland ,au hata belgium au hata uturuki..usianze kuruka ruka kama unataka kukalia mbolo
Umeanza kushabikia mpira lini? Oscar, Drogba, Ramilez, Paulinho hauwafahamu?
 
Yani wewe kumbe hanangwa hivi?? Aiseee[emoji1]
Ibrahim Ajibu aliyetakiwa na Tp Mazembe akakataa? Unaushahidi huo kwanza kama alikataa au ndo maneno yenu mnayoongopeana mkikaaa vijiweni
Alaf sababu ya Ibra kurudi Simba hauijui au unajitoa fahamu tu, Hivi kwa ukata ule uliokuwa Yanga kipindi kile, mchezaji mwenye tamaa kama Ibra angeweza kustahamil kweli?[emoji1] Kingine kama alikuwa na mapenzi kweli na Simba mbona wakina Bin Kleb walimpeleka Yanga na akakubali kucheza

Mpira kwa sasa pesa, Mapenzi peleka kwa mkeo na familia yako
 
We sio mfatiliaji hata kwenye mambo yanayo run ndani ya Club yako, hii ishu ilikuwa gumzo sana mwaka huo.

Msikilize Zahera hapa alivyosema


Ishu ya Ibrahimu Ajibu msikilize Hassan Bumbuli hapa


CARDLESS
ukikaidi utapigwa2
Tate Mkuu
Southern Highland
adriz
Interlacustrine R
NAJYUZ
Frank Wanjiru
jdsk
SnowBall
aka2030
MandingoJR
Ambiele Kiviele
yesamrich
Mideko
kisale wakisale
makwega7
@Achimwene wa Makete
Sandiego
makaveli10
changaule
Bila bila
Augustine Genius
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…