NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
Mbona unatumia hasira sana nakukaza mishipa ya shingo kakaKama umejaaliwa Mtoto akimaliza la Saba B uje kwangu Uchukue uniform za sekondari. Nadhani una matatizo ya kiakili huelewi mafumbo na hata fumbo likifumbuliwa we Bado ni hamnazo,
nyie Makolo mnaitwa timu ya wakata mauno mnashangilia badala ya kurudishia matusi kweli aliewaita Simba mbumbumbu fc Rage apewe PhD ya heshima kama Babu T na wengine
wapi nimesema Sakho katukana Simba?
Ndo maana Nabi anawagaragaza Makolo tu tangu aje bongo maana kawaida akili ya shabiki na kiongozi na mchezaji ni moja!
Inonga aliingia dakika ya ngapi???Wajiulize jana Mayele kaingia dk ya 87 mpaka mpira unaisha hajagusa mpira hata mara moja kwanini???
Hizo ni tafsiri zako na kama unaijua Historia ya Sadio Mane hana hizo tabia kama za kina Baloteli, Cristiano Ronaldo mnataka kumtengenezea sifa mbaya Kijana wa watu ni Muislamu safi, hana matusi wala maneno machafu hizo ni hisia zenu Utopolo mliojaa nongwa na chuki. Kwanza Sadio Mane anaanzaje kumtukana mwenzake ambaye ni Taifa moja? Acheni kuwa na Usimba na Yanga kwenye ishu ya Mane na Sakho wale ni taifa moja na msimu uliopita Sakho anapokea tuzo ya goli bora la michuano ya CAF alikaa meza moja na Mane alipokuwa anachukua Mchezaji wa Africa. Acheni chuki na propaganda zzenu.Kama umejaaliwa Mtoto akimaliza la Saba B uje Uchukue uniform za sekondari. Nadhani una matatizo ya kiakili huelewi matumbo na hata fumbo likifumbuliwa we Bado ni hamnazo, nyie mnaitwa timu ya wakata mauno mnashangilia aliewaita mbumbumbu fc Rage apewe PhD ya heshima kama Babu T na wengine
Hakuna tangazo pale mzee sadio kawafumbaAlaaa kumbe Sadio Mane kaitukana Simba??? Mimi mtazamo wangu kaitangaza na anaijua kumbe kuna timu inaitwa Simba
Nimekupa dokezo tu nashangaa unataka kuanzisha mada nyingine, Punguza umbumbu na kuharibu sifa ya sadio Mane. Mimi ni Shabiki wa Livepool pia Historia yake naijua vizuri sana
Kweli kabisa mkuu upo sahihi lakini mbumbu hawalijui Hilo watakuja kutukana hapa.Simba na Sakho wametukanwa openly ila kwakuwa Makolo ni mbumbumbu wao wanarukaruka kwa furaha kama chizi alieona dampo jipya!
Sakho ni footballer sio dancer na sote tunajua maisha ya wanenguaji na heshma waliyonayo kwenye jamii hapa Africa.
Siku ingine Sakho aoneshe ufundi wa kudrible tuone kama Sadio Mane atampost na kumsifia!
Sawa kata mauno fc [emoji16]Na tafsiri zako za kibwege.Mama J anakusalimia.
Historia gani Tena wewe mjomba sadio ni pro kaamua kufumba Sasa nashangaa hutaki kuukubali ukweli.Nimekupa dokezo tu nashangaa unataka kuanzisha mada nyingine, Punguza umbumbu na kuharibu sifa ya sadio Mane. Mimi ni Shabiki wa Livepool pia Historia yake naijua vizuri sana
Mkuu umeua sana [emoji16]Kama umejaaliwa Mtoto akimaliza la Saba B uje kwangu Uchukue uniform za sekondari. Nadhani una matatizo ya kiakili huelewi mafumbo na hata fumbo likifumbuliwa we Bado ni hamnazo,
nyie Makolo mnaitwa timu ya wakata mauno mnashangilia badala ya kurudishia matusi kweli aliewaita Simba mbumbumbu fc Rage apewe PhD ya heshima kama Babu T na wengine
wapi nimesema Sakho katukana Simba?
Ndo maana Nabi anawagaragaza Makolo tu tangu aje bongo maana kawaida akili ya shabiki na kiongozi na mchezaji ni moja!
Hakika umepiga kwenye mshono.[emoji3]Kama umejaaliwa Mtoto akimaliza la Saba B uje kwangu Uchukue uniform za sekondari. Nadhani una matatizo ya kiakili huelewi mafumbo na hata fumbo likifumbuliwa we Bado ni hamnazo,
nyie Makolo mnaitwa timu ya wakata mauno mnashangilia badala ya kurudishia matusi kweli aliewaita Simba mbumbumbu fc Rage apewe PhD ya heshima kama Babu T na wengine
wapi nimesema Sakho katukana Simba?
Ndo maana Nabi anawagaragaza Makolo tu tangu aje bongo maana kawaida akili ya shabiki na kiongozi na mchezaji ni moja!
Sakho tena??? mbona unajichanganya sana?? Vipi Swaumu au Kwaresma imekukamata???Kama umejaaliwa Mtoto akimaliza la Saba B uje kwangu Uchukue uniform za sekondari. Nadhani una matatizo ya kiakili huelewi mafumbo na hata fumbo likifumbuliwa we Bado ni hamnazo,

Wewe ndiyo umechukulia serious na ndiyo maana umekuja na MATUSI.We Ni mjinga kama wenzio wanaokusapoti
Kila kitu unachukulia serious??
Dah... Hersi na Luc Emayel wapewe PhD za heshima.Kama umejaaliwa Mtoto akimaliza la Saba B uje kwangu Uchukue uniform za sekondari. Nadhani una matatizo ya kiakili huelewi mafumbo na hata fumbo likifumbuliwa we Bado ni hamnazo,
nyie Makolo mnaitwa timu ya wakata mauno mnashangilia badala ya kurudishia matusi kweli aliewaita Simba mbumbumbu fc Rage apewe PhD ya heshima kama Babu T na wengine
wapi nimesema Sakho katukana Simba?
Ndo maana Nabi anawagaragaza Makolo tu tangu aje bongo maana kawaida akili ya shabiki na kiongozi na mchezaji ni moja!
Kiukweli mane aliwatag simba nakuwaambia " “Simba SC look at your player become a dancer.”
Sawa wewe mauno fc mwenye akilinimeiona ile clip.
niishie tu kusema huna akili.
Mbona Kama umeandika kinafiki sana aise.Dah... Hersi na Luc Emayel wapewe PhD za heshima.
Kwa hiyo wewe unataka mpaka aandike "your player become a gay ""nimeiona ile clip.
niishie tu kusema huna akili.