Simba SC mnalalamika nini Serikali kuipendelea Yanga SC wakati nanyi kutwa mnajipendekeza kwao?

Wenzao wanakaa wanaumiza vichwa kuandika proposal wao wanatembea na upepo wa wenzao, haya kailalamikieni na Crdb kwa kuidhamini safari ya Yanga afrika kusini[emoji1787]
 
Huu busara mkuu,, huu ni uchochezi wa chili...
Hivi Kuna Bus inaweza kutoka Bongo to Cairo..?
 
Labda uwadanganye watoto wa kizazi cha Azam T maana huo uongo umerudiwarudiwa hadi watu wamewaamini,kwani mwaka huo 1988 ni timu ngapi zilizotakiwa kushuka daraja?
 
Semaji pendwa limesema sio haki kupewa fedha za walipa kodi.

SIMBA GUVU MOYA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…