Simba Sc naiona ikishinda mapema sana kwa formation hii 4:3:3

Bando la wiki

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2023
Posts
911
Reaction score
3,017
1699006362934448111240793387493.jpg
Kwa formation hiyo, Simba SC inaenda kuibuka na ushindi mapema sana.

Nimejaza viungo Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute, na Mzamiru Yassin ili kuwazuia viungo wa Yanga na kuongeza mashambulizi kwenye lango la adui.

Kanoute anasimama mbele ili kuzuia rafu anazoweza kufanya karibu na lango lake la timu ya Simba.
 
Mfumo huo ni mzuri sana
Lakini unategemeana na Mfumo wa yanga.

Yanga anawesa akaanza na Back 3
Akianza na Back 3
Mwamnyeto, Nondo na Baka watakuwa salama sana kwenye lango lao

Ili yao au Pakome mmoja wao aanzie Benchi.

Kama pakome na yao wote wakiwa uwanjani maana yake Muzamiru ndio anatakiwa aanze kumzuia max na Yao.

Shida ya simba Robertinho ni mgumu sana kubadirika hawezi akamuacha Saido Benchi(no10).
 
Kibu Denis akicheza upande wa Yao, Yao Yao hatakuwa na madhara sana ya kupandisha mipira juu.
 
Saidoo ni mzuri kama Simba inamiliki mpira, ila kama timu inashambuliwa sana, Saidoo ni mzito sana kugeuka na mipira
 
Kibu Denis akicheza upande wa Yao, Yao Yao hatakuwa na madhara sana ya kupandisha mipira juu.

Kibu angala akicheza 7 huko 11 amekuwa akicheza chama siku zote.

Kumpeleka kibu kwa Yao kiufundi unaidhoofisha sana Timu yako. Na ni kujitafutia kufungwa tu.
 
Hapana, yupo sahihi.
Ile fullback mbili ya Yanga inatakiwa uikabie hukohuko juu ili isipande, kinyume na hapo rejeta ya Mohamed Hussein itapasuka.

Mzamiru kwny mechi za Yanga huwa anachemka sana kama ulivyokuwa kwa Jonas Mkude.
 
Kwa kikosi cha Simba hatuwezi kuwa na hofu labda kocha ajichanganye

Mimi mshabiki wa Simba, ila Yanga ipo vizuri zaidi. Kwa Simba kushinda itokee tu mambo ya Mpira.

Na mvua hizi zinaonyesha, na muhindi kampa Simba Odd ya 2. na Yanga Odd ya 3. Basi hata sielewi wamezingatia nini.

Huu mpira kwa mm sitaungalia, ntazima simu na redio sisikilizi
 
Mhindi sio mjinga ndugu yangu uwe na amani siku hiyo
 
Simba ni nzuri ila kocha ndio shida, timu inacheza kama gombania goli.

Tatzo lingine ni Simba ikipata goli tu, basi wachezaji wana relax. Kocha hajawahi rekebisha hili tatzo kwa muda sasa..

Lakn zaidi, muda wote timu inashambuliwa. Yaani ukiwa mshabiki wa Simba unaomba mpira uishe, na imekuwa na style hii muda wote tangu Robatinho awepo hapo..

Sijui kwa faida ya nani huyo kocha bado yupo hapo. Na sijui ana ukaribu gani na Boko
 
Mfumo huo ni mzuri sana
Lakini unategemeana na Mfumo wa yanga.

Yanga anawesa akaanza na Back 3
Akianza na Back 3
Mwamnyeto, Nondo na Baka watakuwa salama sana kwenye lango lao

Ili yao au Pakome mmoja wao aanzie Benchi.

Kama pakome na yao wote wakiwa uwanjani maana yake Muzamiru ndio anatakiwa aanze kumzuia max na Yao.

Shida ya simba Robertinho ni mgumu sana kubadirika hawezi akamuacha Saido Benchi(no10).
Mkuu mi natoka kidogo Nje ya Mada...Ukiendelea hivi unakua mstaarabu sana yani comment ina vitu..hapa hayupo atakae kuita mpuuzi au mjinga.Ujue mtu atakutukana na atashindwa kukujibu kwa hoja kama ukianza zile Reply za Simba ina watu kuliko Yanga halaf utegemee mtu aje akujibu kwa hoja hapo hapana atakujibu tu kwa Matusi ya kuuita we Tahira.

Ni kingine utakua Mstaarabu sana na utaheshimika pale utajitenga na Nyuzi zilizojaa Ushabiki sio kila Nyuzi U Reply sikupangii lakini samahan.

Nahisi umenielewa Mkuu..Sabato Njema.
 
Hapana, yupo sahihi.
Ile fullback mbili ya Yanga inatakiwa uikabie hukohuko juu ili isipande, kinyume na hapo rejeta ya Mohamed Hussein itapasuka.

Mzamiru kwny mechi za Yanga huwa anachemka sana kama ulivyokuwa kwa Jonas Mkude.
Magoli mengi mechi ya Simba na yanga yanaanzia kwake, ama atapoteza mpira au atafanya rafu karibu na goli. Mechi ya 2 kwa 2 aliyofunga Balama alipoteza mpira, mechi aliyosawazisha Aziz K kwa free kick alicheza rafu isiyo na maana. Mifano ipo mingi.
 
Back
Top Bottom