Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Wewe ulikuwa unaangalia mpira wako.Percy Tau alivyowakimbiza Simba vile ndo mnaona mlimuweza kumkaba?
Kwenye mechi zote za AFL Tau kakabwa vilivyo, kukimbiza mara mojamoja inatokea na ni kawaida kwenye game. Hata Sundowns kuna muda aliwapeleka ila overall ni kwamba alikabwa haswa.