Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Kibu Denis akicheza upande wa Yao, Yao Yao hatakuwa na madhara sana ya kupandisha mipira juu.Mfumo huo ni mzuri sana
Lakini unategemeana na Mfumo wa yanga.
Yanga anawesa akaanza na Back 3
Akianza na Back 3
Mwamnyeto, Nondo na Baka watakuwa salama sana kwenye lango lao
Ili yao au Pakome mmoja wao aanzie Benchi.
Kama pakome na yao wote wakiwa uwanjani maana yake Muzamiru ndio anatakiwa aanze kumzuia max na Yao.
Shida ya simba Robertinho ni mgumu sana kubadirika hawezi akamuacha Saido Benchi(no10).
Saidoo ni mzuri kama Simba inamiliki mpira, ila kama timu inashambuliwa sana, Saidoo ni mzito sana kugeuka na mipiraMfumo huo ni mzuri sana
Lakini unategemeana na Mfumo wa yanga.
Yanga anawesa akaanza na Back 3
Akianza na Back 3
Mwamnyeto, Nondo na Baka watakuwa salama sana kwenye lango lao
Ili yao au Pakome mmoja wao aanzie Benchi.
Kama pakome na yao wote wakiwa uwanjani maana yake Muzamiru ndio anatakiwa aanze kumzuia max na Yao.
Shida ya simba Robertinho ni mgumu sana kubadirika hawezi akamuacha Saido Benchi(no10).
Kwa kikosi cha Simba hatuwezi kuwa na hofu labda kocha ajichanganyehofu hizo
Kibu Denis akicheza upande wa Yao, Yao Yao hatakuwa na madhara sana ya kupandisha mipira juu.
Yanga mtapigwa kama ngomaNgoja tusubiri tuone kama siku hiyo mtashinda njaa.
Maana mtapelekewa moto kuanzia dakika ya 1 mpaka zile dakika za nyongeza.
Kibu angala akicheza 7 huko 11 amekuwa akicheza chama siku zote.
Kumpeleka kibu kwa Yao kiufundi unaidhoofisha sana Timu yako. Na ni kujitafutia kufungwa tu.
Kwa kikosi cha Simba hatuwezi kuwa na hofu labda kocha ajichanganye
Mhindi sio mjinga ndugu yangu uwe na amani siku hiyoMimi mshabiki wa Simba, ila Yanga ipo vizuri zaidi. Kwa Simba kushinda itokee tu mambo ya Mpira.
Na mvua hizi zinaonyesha, na muhindi kampa Simba Odd ya 2. na Yanga Odd ya 3. Basi hata sielewi wamezingatia nini.
Huu mpira kwa mm sitaungalia, ntazima simu na redio sisikilizi
Mhindi sio mjinga ndugu yangu uwe na amani siku hiyo
Mkuu mi natoka kidogo Nje ya Mada...Ukiendelea hivi unakua mstaarabu sana yani comment ina vitu..hapa hayupo atakae kuita mpuuzi au mjinga.Ujue mtu atakutukana na atashindwa kukujibu kwa hoja kama ukianza zile Reply za Simba ina watu kuliko Yanga halaf utegemee mtu aje akujibu kwa hoja hapo hapana atakujibu tu kwa Matusi ya kuuita we Tahira.Mfumo huo ni mzuri sana
Lakini unategemeana na Mfumo wa yanga.
Yanga anawesa akaanza na Back 3
Akianza na Back 3
Mwamnyeto, Nondo na Baka watakuwa salama sana kwenye lango lao
Ili yao au Pakome mmoja wao aanzie Benchi.
Kama pakome na yao wote wakiwa uwanjani maana yake Muzamiru ndio anatakiwa aanze kumzuia max na Yao.
Shida ya simba Robertinho ni mgumu sana kubadirika hawezi akamuacha Saido Benchi(no10).
Magoli mengi mechi ya Simba na yanga yanaanzia kwake, ama atapoteza mpira au atafanya rafu karibu na goli. Mechi ya 2 kwa 2 aliyofunga Balama alipoteza mpira, mechi aliyosawazisha Aziz K kwa free kick alicheza rafu isiyo na maana. Mifano ipo mingi.Hapana, yupo sahihi.
Ile fullback mbili ya Yanga inatakiwa uikabie hukohuko juu ili isipande, kinyume na hapo rejeta ya Mohamed Hussein itapasuka.
Mzamiru kwny mechi za Yanga huwa anachemka sana kama ulivyokuwa kwa Jonas Mkude.