Simba Sc naiona ikishinda mapema sana kwa formation hii 4:3:3

Kwa hiyo utopolo wamelala wanasubiri makolo awafunge.
Usikimbie uzi.
 

Asante sana mkuu @ THE FIRST BORN
Asante kwa ushauri mwema.

Ushauri wako nimeupokea na nimeupokea kwa mikono miwili.

Mimi ni Binadamu nina mapungufu yangu, Naomba unisamehe pale nilipo kukwaza.

Nitajitahidi kutojihusisha na ushabiki.

Mtume paul anatukumbusha kwenye barua yake kwa wafilipi

Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake.
Wafilipi 2:3

Asante sana uwe na SABATH NJEMA.
 
Magoli mengi mechi ya Simba na yanga yanaanzia kwake, ama atapoteza mpira au atafanya rafu karibu na goli. Mechi ya 2 kwa 2 aliyofunga Balama alipoteza mpira, mechi aliyosawazisha Aziz K kwa free kick alicheza rafu isiyo na maana. Mifano ipo mingi.

upo sahihi kabisa.
Na mechi nyingine nyingi kabla ya hizo, Mzamiru amakuwa akiifungisha Simba hadi unahisi anahusika kuihujumu.

Mzamiru tungependa asicheze hiyo mechi.
 
Wanasimba kwa kujipa moyo
 
Kwa taarifa nilizonazo huenda Manula akawa Golini. Kama No 1
 
Practically Africa ni timu chache sana zinazoweza kucheza 4-3-3.
 
Nilivyoona tu huu mfumo wa mtoa mada (ambao kiukweli uko vizuri), nikawaza Robertinho na mapenzi yake kwa Ntibazonkiza.


Ntibazonkiza hawezi kuifaa Simba Sc kwenye hiyo mechi, labda kama ataingia kipindi cha pili dakika za mwisho (kama tu, Simba Sc itakuwa bado inatafuta ushindi).



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana, yupo sahihi.
Ile fullback mbili ya Yanga inatakiwa uikabie hukohuko juu ili isipande, kinyume na hapo rejeta ya Mohamed Hussein itapasuka.

Mzamiru kwny mechi za Yanga huwa anachemka sana kama ulivyokuwa kwa Jonas Mkude.
mkuu umenena
 
Hapo bado yule popoma wenu hajaanzisha Uzi mwingine. Bado bobansunzu,bado mshana bado kale kabibi,bado hilo hapo juu lenye matusi anamtumiaga sana manara na pia anatumiaga kagazeti fulani uchwara ka miaka ya Nyerere. Kweli mtakonda trip hii. Mna hofu hatari
 
Umenena mkuu, jamaa mimi namuonaga mstaarabu saana ila ile jana sijui juzi alizingua.
 
Umenena mkuu, jamaa mimi namuonaga mstaarabu saana ila ile jana sijui juzi alizingua.

Mimi ni mstarabu sana mkuu

Sema mashabiki wengi wa yanga ndio huwa wananichukisa sana.

Wananichukia pale nilikiona Utombo ulioandikwa na laban au naliangwena.
Huwa naweka nukuu ya Luck au kitabu cha Tanu na picha ya haji manara ya wenye akili ni wawili tu......
 
 
 
Kuna madhaifu kwenye mfumo huo, ni bora kucheza 4 4 2(diamond) formation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…