Simba Sc naiona ikishinda mapema sana kwa formation hii 4:3:3

Hapana, yupo sahihi.
Ile fullback mbili ya Yanga inatakiwa uikabie hukohuko juu ili isipande, kinyume na hapo rejeta ya Mohamed Hussein itapasuka.

Mzamiru kwny mechi za Yanga huwa anachemka sana kama ulivyokuwa kwa Jonas Mkude.
Unaongelea yao watu wamekaba percy tau na alipoa

Kocha aanze na moses phiri tu as a 9
Chama akae katikati
Huu upande wa kapombe wamuingize israel mwenda second half

Mi sijui huwa anawaza nini kumuweka chama pembeni i think it makes more sense saido na kibu wakitokea pembeni then chama katikati

Sijui ila mimi ni hichi tu nnachoona
 
pira objectiiivu, pira papatu papatu, tukutane j2 baada ya dk 90+
Isome hii comment itunze
Ipo siku pira objective mtalihamia na hapo ndipo utaelewa

Nakwambia hivi hakuna timu bora duniani kwa sasa inacheza pira biriani
Hakuna timu hiyo
Barcelona ilishaachana na huu ujinga na kocha wao xavi amekataa na ndo alikua mtu ambaye anaperform kwenye huu mfumo
 
Maneno ya wakosaji,
 
Maneno ya wakosaji,
Timu zote kubwa africa hazichezi huu mfumo wa pira biriani
Ni ngumi hasa kufanya vizuri na huu mfumo kama utakutana na wachezaji ambao wamewazidi individual brilliance
Mfumo unawaruhusu wapinzani wajiandae kukulinda
Unakumbuka mechi yenu na Al hilal dar?
Mlikua mnapiga pasi za beseni ila mnashindwa kuingia kwa sababu hii
Bila ya goli la mayele mlikua ile mechi inaisha vile vile
 
sawa mkuu yaishe basi, endeleeni na pira papatupapatu, pira objectiivu, pira magoli, ingawa mech yetu na azam mlitunanga kuwa tulicheza pira papatupapatu japo tulishinda, sasa sijui huwa mnasimama na lipi hata sijui.
 
Percy Tau alivyowakimbiza Simba vile ndo mnaona mlimuweza kumkaba?
 
Ikawaje mkatoka?
 
Simba anapigwa 7 jmapili na baada ya 70 yatafanyika mazungumzo ya amani ili kulinda heshima ya soka la Tanzania magoli yasiendelee
 
Kwani mayele alikua anaichezea Namungo?
 
Mayele alikuwa mchezaji wa Al Hilal???
 
Unaua winga moja hapo umezingua weka miquison toa mzamiru
 
Yanga kazi ya kumfunga Robertinho ilishawashinda kitambo
 
Yanga kazi ya kumfunga Robertinho ilishawashinda kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…