Wewe ulikuwa unaangalia mpira wako.Percy Tau alivyowakimbiza Simba vile ndo mnaona mlimuweza kumkaba?
ikawaje mkatoka huku mmemkaba Tau?Wewe ulikuwa unaangalia mpira wako.
Kwenye mechi zote za AFL Tau kakabwa vilivyo, kukimbiza mara mojamoja inatokea na ni kawaida kwenye game. Hata Sundowns kuna muda aliwapeleka ila overall ni kwamba alikabwa haswa.
Hatuchezi na Robertinho tunacheza na SimbaYanga kazi ya kumfunga Robertinho ilishawashinda kitambo
Mimi langu ni hilo tu. Sina mengi [emoji120]Hatuchezi na Robertinho tunacheza na Simba
Tanga tuliwafunga goli halali kabisa refa akawabebaMimi langu ni hilo tu. Sina mengi [emoji120]
Tufanye mpango wa VAR. Mshindi ashinde kihalali[emoji3]Tanga tuliwafunga goli halali kabisa refa akawabeba
Mauwa ya kwenye shuka yameonekana kidogo sana..!! Yaani kama uwezekano wa Simba kushinda kwa formation yoyote..!!Kwa formation hiyo, Simba SC inaenda kuibuka na ushindi mapema sana.
Nimejaza viungo Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute, na Mzamiru Yassin ili kuwazuia viungo wa Yanga na kuongeza mashambulizi kwenye lango la adui.
Kanoute anasimama mbele ili kuzuia rafu anazoweza kufanya karibu na lango lake la timu ya Simba.
Kwa kweli hata mimi sijaelewaga Chama kutokea pembeni halafu Saido katikati[emoji1751][emoji1751]Unaongelea yao watu wamekaba percy tau na alipoa
Kocha aanze na moses phiri tu as a 9
Chama akae katikati
Huu upande wa kapombe wamuingize israel mwenda second half
Mi sijui huwa anawaza nini kumuweka chama pembeni i think it makes more sense saido na kibu wakitokea pembeni then chama katikati
Sijui ila mimi ni hichi tu nnachoona
Torturaly 😀Tulipanga kikosi cha ushindi ila kocha makusudically akaanza na manula
mkuu vp, una la kusema?Timu zote kubwa africa hazichezi huu mfumo wa pira biriani
Ni ngumi hasa kufanya vizuri na huu mfumo kama utakutana na wachezaji ambao wamewazidi individual brilliance
Mfumo unawaruhusu wapinzani wajiandae kukulinda
Unakumbuka mechi yenu na Al hilal dar?
Mlikua mnapiga pasi za beseni ila mnashindwa kuingia kwa sababu hii
Bila ya goli la mayele mlikua ile mechi inaisha vile vile
Mmecheza vyemamkuu vp, una la kusema?