Simba SC v Young Africans SC

nafarijika kumuona david luhende akianza leo, cse anankumbsha wkt tupo wte sengerema,ktka ligi ya mkoa mza
 
Du! Star tv wanaonyesha mechi ya oljoro na azam,leo nipo kona mbaya nasikiliza mpira wa yanga na simba kupitia radio one sterio.
 

Kila la kheri Mabingwa wa Tanzania 2013/2014 DAR YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB. Kila la kheri Mabingwa wa kihistoria Tanzania.

DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB Timu ya Wananchi; Timu ya Watanzania.

Yanga piga hao Boko haramu 7-0!!!:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
 
Nasikia Star Tv wanarusha wa Azam

Bakhresa ndiye anawalipa startv ili warushe mipambano ya Azam wakati timu nyingine zikisubiri kulipwa na wenye tv ili warushe mechi zao. Yani Azam wanakwenda anti clockwise movement lakini wanelekea kufika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…