Simba sc vs libolo!

Mi nilikwambia juzi kati gemu hii lazima mpakatwa malkia wa nyuki aliwalewesha gahawa na tende Oman

kama unautani na bemg crashwise na katavi sawa sie tushajimaliza jana wepesi..
 
Acha Usenge-nyaji wewe, we timu yako inashiriki mashindano gani ya kimataifa

Hatuna kawaida ya kushiriki, huwa tunashindana. Mshiriki ni kama wewe unayegawa points kwa Libolo.

Kama unafikiri hayo uliyoniandikia ni matusi labda yataniumiza roho unajidanganya, hayo ni matamshi tu. Matusi hasahasa ni hayo anayokufanya Libolo hapo uwanjani
 
Beki wa kushoto wa Libolo anatoka, anaingia mchezaji mwingine....
 
Hatimaye Simba koko anasawazisha golu pale, ni kazi nzuri ya Okwi........ah, ni Rage anaota tu!
 
Kwa mbali kwenye benchi la Simba, Kinje anajiandaa kuingia...
Naona Boban anatoka, Kinje anaingia....

Mashabiki wa Simba wanamaindi hapa....

Boban huyo anaenda zake kwenye vyumba vya kubadilisha nguo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…