OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
long tym mkuu no see u
Nipo mkuu, mishe za kuandaa bajeti kabla ya June
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
long tym mkuu no see u
Acha Usenge-nyaji wewe, we timu yako inashiriki mashindano gani ya kimataifa
Mi nilikwambia juzi kati gemu hii lazima mpakatwa malkia wa nyuki aliwalewesha gahawa na tende Oman
Na sijui watakichomoaje...maana ndio kunakuchwa hivyo!!!
Sikiliza headline ya Gazati la kesho.........."LIBOLO JUU SIMBA CHINI"
Usipo kuwa makini nafasi ya 3 utashushwa na Mtibwa
Acha Usenge-nyaji wewe, we timu yako inashiriki mashindano gani ya kimataifa
Athari za kuingiliwa na LIBOLO hizi, bora kuwa mtazamaji kuliko kutiwa goli na Libolo
Nipo mkuu, mishe za kuandaa bajeti kabla ya June
Athari za kuingiliwa na LIBOLO hizi, bora kuwa mtazamaji kuliko kutiwa goli na Libolo
Acha Usenge-nyaji wewe, we timu yako inashiriki mashindano gani ya kimataifa
Dk 10 Liv 0 - 0 Swansea..
Kwa akili yake anaona hayo ni matusi, hajui matusi ni hayo anayofanywa na LIBOLO