Bakari Chijumba
Member
- Mar 22, 2019
- 46
- 55
'Tumetuma malalamiko dhidi ya @CAF_Online kwa kufanya mabadiliko ya waamuzi wa mchezo wa marudiano wa #CAFCL tutakaocheza Jumamosi./We have formally lodged a complaint against CAF for the abrupt change in referees ahead of match against Mazembe in this Saturday in DRC" kauli ya Simba kupitia ukurasa wao wa Twitter.
Kabla ya Kauli hiyo Mbunge Zitto Kabwe aliandika pia Twitter akiwashauri Simba kufuatilia jambi hilo alilohisi lina harufu ya hujuma
"Waamuzi wa Mechi ya Simba na TP Mazembe wamebadilishwa. Wameondolewa waamuzi kutoka Ethiopia na Kenya na kuwekwa waamuzi kutoka Zambia. Nataraji Viongozi wa Simba wanafuatilia hili maana inaweza kuwa ni hujuma haswa Kwa kuwa Makamu wa Rais CAF anatoka Lubumbashi"~Ziitto Kabwe
Sent using Jamii Forums mobile app