Simba SC watuma malalamiko wakilalamikia kubadilishwa kwa waamuzi mechi kati yao na TP Mazembe

Joined
Mar 22, 2019
Posts
46
Reaction score
55
'Tumetuma malalamiko dhidi ya @CAF_Online kwa kufanya mabadiliko ya waamuzi wa mchezo wa marudiano wa #CAFCL tutakaocheza Jumamosi./We have formally lodged a complaint against CAF for the abrupt change in referees ahead of match against Mazembe in this Saturday in DRC" kauli ya Simba kupitia ukurasa wao wa Twitter.

Kabla ya Kauli hiyo Mbunge Zitto Kabwe aliandika pia Twitter akiwashauri Simba kufuatilia jambi hilo alilohisi lina harufu ya hujuma

"Waamuzi wa Mechi ya Simba na TP Mazembe wamebadilishwa. Wameondolewa waamuzi kutoka Ethiopia na Kenya na kuwekwa waamuzi kutoka Zambia. Nataraji Viongozi wa Simba wanafuatilia hili maana inaweza kuwa ni hujuma haswa Kwa kuwa Makamu wa Rais CAF anatoka Lubumbashi"~Ziitto Kabwe
IMG_20190408_121905.jpeg
IMG_20190408_122408.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubabake tupeleke TPDF uwanjani kwao waachane na ADF
 
Anajua gwiji L.Tenga n nanii?

CAF
 
hahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa
 
'Tumetuma malalamiko dhidi ya @CAF_Online kwa kufanya mabadiliko ya waamuzi wa mchezo wa marudiano wa #CAFCL tutakaocheza Jumamosi./We have formally lodged a complaint against CAF for the abrupt change in referees ahead of match against Mazembe in this Saturday in DRC" kauli ya Simba kupitia ukurasa wao wa Twitter.

Kabla ya Kauli hiyo Mbunge Zitto Kabwe aliandika pia Twitter akiwashauri Simba kufuatilia jambi hilo alilohisi lina harufu ya hujuma

"Waamuzi wa Mechi ya Simba na TP Mazembe wamebadilishwa. Wameondolewa waamuzi kutoka Ethiopia na Kenya na kuwekwa waamuzi kutoka Zambia. Nataraji Viongozi wa Simba wanafuatilia hili maana inaweza kuwa ni hujuma haswa Kwa kuwa Makamu wa Rais CAF anatoka Lubumbashi"~Ziitto KabweView attachment 1065805View attachment 1065806

Sent using Jamii Forums mobile app
MPAKA SASA TUSHAFUNGWA MOJA BILA KABLA YA MCHEZO WENYEWE..WOGA HUU BILA SABABU ZA MSINGI.PENGINE UTAJUAJE LABDA HAO WAAMUZI WALIOONDLEWA NA CAF NDIO WENYE SHIDA. TAUCHE KUPOTEZA MDA KWA MAMBO YASIYOKUWA NA KICHWA WALA MIGUU...
 
'Tumetuma malalamiko dhidi ya @CAF_Online kwa kufanya mabadiliko ya waamuzi wa mchezo wa marudiano wa #CAFCL tutakaocheza Jumamosi./We have formally lodged a complaint against CAF for the abrupt change in referees ahead of match against Mazembe in this Saturday in DRC" kauli ya Simba kupitia ukurasa wao wa Twitter.

Kabla ya Kauli hiyo Mbunge Zitto Kabwe aliandika pia Twitter akiwashauri Simba kufuatilia jambi hilo alilohisi lina harufu ya hujuma

"Waamuzi wa Mechi ya Simba na TP Mazembe wamebadilishwa. Wameondolewa waamuzi kutoka Ethiopia na Kenya na kuwekwa waamuzi kutoka Zambia. Nataraji Viongozi wa Simba wanafuatilia hili maana inaweza kuwa ni hujuma haswa Kwa kuwa Makamu wa Rais CAF anatoka Lubumbashi"~Ziitto KabweView attachment 1065805View attachment 1065806

Sent using Jamii Forums mobile app
MPAKA SASA TUSHAFUNGWA MOJA BILA KABLA YA MCHEZO WENYEWE..WOGA HUU BILA SABABU ZA MSINGI.PENGINE LABDA HAO WAAMUZI WALIOONDLEWA NA CAF NDIO WENYE SHIDA TUTAJUAJE!. TAUCHE KUPOTEZA MDA KWA MAMBO YASIYOKUWA NA KICHWA WALA MIGUU...
 
Back
Top Bottom