Nawapa dosage wagonjwa wanaoteseka km hawa, na nilishawapa taarifa wasubiri mpira uishee.Oya haulali leooo [emoji1787][emoji16][emoji23][emoji23]pumzika basi my [emoji23][emoji16][emoji16][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nomaaaa[emoji23][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona mna mtaka sana Asec? Si mumtake Mamelody au PetroPigeni kelele ila Yanga akipangwa na Asec anaenda nusu.
Wao walitaka 5, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumewapiga bao 6” [emoji23][emoji23]View attachment 2922641
Kocha wao maneno yamemponzaWao walitaka 5, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndo hawa hawa walio jitapa eti waliotufunga mwaka ule wamerudi tena?
Sasa imekuajeee??
Kwenye pool wapo hao watatu, so lazima ni mchague Asec sababu uwezo wa kumtoa ninao. Petro hii 50-50 ila Mamelod hawa sio wa kukutana nao mda huu. Ila Asec hawa nikikutana nao nusu fainali uhakika.Mbona mna mtaka sana Asec? Si mumtake Mamelody au Petro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majini uchwara wa Avic mnachekeshaa kwelii.
Mamelodi sundowns wakawaida sana huyo 😂 Kuna wahuni wanaitwa Petro de Luanda unawajua hawajaruhusu hata goli Moja Toka mashindani yaanzeMbona mna mtaka sana Asec? Si mumtake Mamelody au Petro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majini uchwara wa Avic mnachekeshaa kwelii.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkampa na maneno ya kuongea, ila utopoloo mnayawezaa,Kocha wao maneno yamemponza
Bora mamelodi kuliko Petro de Luanda hivi unafuatilia ligi ya Angola ?Kwenye pool wapo hao watatu, so lazima ni mchague Asec sababu uwezo wa kumtoa ninao. Petro hii 50-50 ila Mamelod hawa sio wa kukutana nao mda huu. Ila Asec hawa nikikutana nao nusu fainali uhakika.
😁🤣😂😂😂😂Hawa jamaa Leo wameyatimba yaani wamepigwa hadi wamelowa na mvua 🤣😁😁🤣[emoji23][emoji23][emoji23] mkampa na maneno ya kuongea, ila utopoloo mnayawezaa,
Yaan hamuonagi hata aibu, kaumbuka kibonge mwepesi wa Gaborone. Uwiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira hauko hivyo, Unaweza pewa Asec na bado usiende Semi, kwa Petro na Mamelody hapa usiseme chochote ni kupigwa nje ndaniii.Kwenye pool wapo hao watatu, so lazima ni mchague Asec sababu uwezo wa kumtoa ninao. Petro hii 50-50 ila Mamelod hawa sio wa kukutana nao mda huu. Ila Asec hawa nikikutana nao nusu fainali uhakika.
Petro huwezi fananisha na Mamelod, leo Mazembe wamepaki kontena, ball position 70+ pili wana experience kwenye stage hizi za kuanzia robo.Bora mamelodi kuliko Petro de Luanda hivi unafuatilia ligi ya Angola ?
Mimi Asec napiga, Petro 50-50 ila Mamelod sijaongea chochote na ndio maana nikasema sitaki ni kutane nao sasa labda kuanzia nusu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira hauko hivyo, Unaweza pewa Asec na bado usiende Semi, kwa Petro na Mamelody hapa usiseme chochote ni kupigwa nje ndaniii.
Unazingua wewe Petro de Luanda huwaga wanamtoa sana huyo mamelodi na fatilia rekodi zao utacheka sana mamelodi wakaida sanaPetro huwezi fananisha na Mamelod, leo Mazembe wamepaki kontena, ball position 70+ pili wan experience kwenye stage hizi za kuanzia robo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua Home, 2nd time nkasema naenda banda umiza kusuuza watu.[emoji16][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa jamaa Leo wameyatimba yaani wamepigwa hadi wamelowa na mvua [emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingekua hivyo, dkk hii hapa CL belouzdad na Wydad wangekua robo final.Mimi Asec napiga, Petro 50-50 ila Mamelod sijaongea chochote na ndio maana nikasema sitaki ni kutane nao sasa labda kuanzia nusu.
Hamjui petro vizuri, [emoji23][emoji23][emoji23]Unazingua wewe Petro de Luanda huwaga wanamtoa sana huyo mamelodi na fatilia rekodi zao utacheka sana mamelodi wakaida sana
Kaka experience ina matter, hivi si ulitizama fainali mbili za UEFA Liverpool na Madrid, we unazani Liver alizidiwa,ila experience tu fainali ya kwanza Ramos,kamchezea rafu Salah katoka,Madrid wakafanya yao. Fainali ya pili Liver kala kidude ila game zima alidominate, experience ina matter sana.Unazingua wewe Petro de Luanda huwaga wanamtoa sana huyo mamelodi na fatilia rekodi zao utacheka sana mamelodi wakaida sana
Mimi nautizama mpira based on current performance, Asec hana timu ya kunifunga,mgumu kwako wewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingekua hivyo, dkk hii hapa CL belouzdad na Wydad wangekua robo final.
Mpira hauko hivyo, niamini mie.
Sasa km experience ina matter, wee na petro nani ana experience ktk hii michuano? Huoni hapo tayari wee uko nje ya ulingo?Kaka experience ina matter, hivi si ulitizama fainali mbili za UEFA Liverpool na Madrid, we unazani Liver alizidiwa,ila experience tu fainali ya kwanza Ramos,kamchezea rafu Salah katoka,Madrid wakafanya yao. Fainali ya pili Liver kala kidude ila game zima alidominate, experience ina matter sana.