Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Huwenda hawafatiliii hivi anamjua hata mwamba mmoja wakuitwa bebeto Kuna julinho na vidinho ni balaa sana hao ππ€£πππHamjui petro vizuri, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mamelody aliwahi tolewa nae robo, na alipigwa nje ndani.
Hauwezi linganisha na Mamelody.Sasa km experience ina matter, wee na petro nani ana experience ktk hii michuano? Huoni hapo tayari wee uko nje ya ulingo?
Eti eeeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nautizama mpira based on current performance, Asec hana timu ya kunifunga,mgumu kwako wewe.
Ingependeza zaidi tupewe asec ila hata tukipewa mamelodi sundowns tutamkazia tuKaka experience ina matter, hivi si ulitizama fainali mbili za UEFA Liverpool na Madrid, we unazani Liver alizidiwa,ila experience tu fainali ya kwanza Ramos,kamchezea rafu Salah katoka,Madrid wakafanya yao. Fainali ya pili Liver kala kidude ila game zima alidominate, experience ina matter sana.
Sio eti ww timu yako mbovu ndioaana ulishindwa kumfunga,tena dirisha dogo kauza wachezaji.Eti eeeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mamelod level nyingine kabisa na hamna timu yoyote inayo taka kukutana nae kwenye robo,itokee tuu umepangwa nae.Ingependeza zaidi tupewe asec ila hata tukipewa mamelodi sundowns tutamkazia tu
Sasa hao mamelody walishawahi tolewa na hawa petro, tena robo final na walifungwa home & away. Unasemaje hapo?Hauwezi linganisha na Mamelody.
Mhhh Mamelod chance ndogo sana ya kutoboa.Ingependeza zaidi tupewe asec ila hata tukipewa mamelodi sundowns tutamkazia tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri ni kwamba, tuwe wapolee tusubiri draw ipangwe, tujue nan n nan.Sio eti ww timu yako mbovu ndioaana ulishindwa kumfunga,tena dirisha dogo kauza wachezaji.
Sasa kutolewa unalinganisha na timu ambayo ina taji la CAF champions, ina lingine kachukua juzi na Wydad na miaka mitano nusu kwake kitu cha kawaida. Mamelod ni hatari msako wao si wakitoto na hawana cha ugenini wala nyumbani.Sasa hao mamelody walishawahi tolewa na hawa petro, tena robo final na walifungwa home & away. Unasemaje hapo?
Ukisema current performance hata hawa Asec wako vzur, ndo maana wapo robo sahiv, tofauti na mwaka jana waliishia makundi.
Kuna yule jamaa fulani, sijui raia wa Tunisia vile, lina balaa lile khaah.Huwenda hawafatiliii hivi anamjua hata mwamba mmoja wakuitwa bebeto Kuna julinho na vidinho ni balaa sana hao [emoji23][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio hivyo ila kauli yangu haibadiliki, nikikutana na Asec kaa ukijua na ingia nusu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri ni kwamba, tuwe wapolee tusubiri draw ipangwe, tujue nan n nan.
[emoji23][emoji23][emoji23] sio rahisi km wee unavyodhani hapa.Sasa kutolewa unalinganisha na timu ambayo ina taji la CAF champions, ina lingine kachukua juzi na Wydad na miaka mitano nusu kwake kitu cha kawaida. Mamelod ni hatari msako wao si wakitoto na hawana cha ugenini wala nyumbani.
Narudia tena Asec wagumu kwako, ila kwangu nikikutana nae ujue naenda nusu.
Wacha tusubiriii.Ndio hivyo ila kauli yangu haibadiliki, nikikutana na Asec kaa ukijua na ingia nusu.
Yule mshambuliaji au π€£ππKuna yule jamaa fulani, sijui raia wa Tunisia vile, lina balaa lile khaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kabisa.
Najua ila based on Current Performance ya timu yangu na Asec ,nusu na ingia bila tatizo lolote.[emoji23][emoji23][emoji23] sio rahisi km wee unavyodhani hapa.
Mpira hauko hivyo na una matokeo ya kikatili sana.
Tutawatupia majiniMhhh Mamelod chance ndogo sana ya kutoboa.
Hawa wape Petro de Luanda hawachomoki wanakufa nje ndani hao memelodiMamelod level nyingine kabisa na hamna timu yoyote inayo taka kukutana nae kwenye robo,itokee tuu umepangwa nae.
Huyo huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule mshambuliaji au [emoji1787][emoji23][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maneno yasiwe mengi, wacha tusubiri.Najua ila based on Current Performance ya timu yangu na Asec ,nusu na ingia bila tatizo lolote.