Swala ni kwamba umefanya angalau mara moja kabla ya siku ya mechi.Neno "mara moja kabla ya mechi" halipo fixed na muda. Yani halifungamani na muda.
Mtu hata aliyefanya mazoezi wiki iliyopita naye anakuwa amefanya mara moja kabla ya mechi.
Mara moja hai define specific time.Swala ni kwamba umefanya angalau mara moja kabla ya siku ya mechi.
Kwahiyo unataka kuniambia kuna baunsa wa kuzuia bus la simba? Maana hata geti halikufunguliwaMeneja wa uwanja wa mpira asiyejua kanuni za mpira! Mwenye uwanja ni nani anamaanisha serikali kama ndivyo lini serikali ikatumia mabaunsa ktk ulinzi?
Kosa ni kutoleta timu uwanjaniHaki itendeke.
Source ya haya yote ni imani za kishirikina kitu ambacho ni upuuzi kabisa. Ushirikina ulioshindwa kuwapa kombe la CAF hadi leo bado mnauendekeza hadi leo.
Sijui hili jambo limekaae kisheria ila kama Yanga wanamakosa waadhibiwe iwe fundisho kwa hawa makomandoo uchwara.
Mwisho wa siku nawalaumu TFF wao ndio wanaolea upuuzi wa hizi timu mbili matokeo yake ndio haya sasa.
Masome tena hiyo kanuni kuna neno ikiwa sababu ya kugomea mchezo hazitakubaliwa na kamati ya uendeshaji. Hii ina maana kumbe zipo sababu zinazoweKanuni haisemi timu ngeni ikinyimwa kufanya mazoezi iginee
Kanuni haisemi timu ikizuiwa kufanya mazoezi igomee match husika,kanuni ipo wazi Yanga atapigwa faini ya hela au onyo Kali na aliegomea match atakatwa point 3 na magoli matatu.
kanuni ilikuwa inawaruhusu simba kufanya mazoezi ktk muda unaoendana na muda wa mechi, je kamishna wa mechi au msimamizi wa uwanja hakujua hilo?Kwahiyo unataka kuniambia kuna baunsa wa kuzuia bus la simba? Maana hata geti halikufunguliwa
Hizi kanuni na taratibu zilianza jana?Round ya kwanza hazikuwepo wakati nyie mlipokuwa wenyeji.Kanuni ya 45 inasema timu mgeni itafanya mazoezi angalau mara 1 kwenye uwanja wa Mechi kabla ya siku ya Mechi. Haijasisitiza iwe siku 1 kabla ya Mechi Kwa hiyo Kanuni hiyo inatoa wajibu Kwa timu mgeni kusema atakwenda lini. Unayosema ni kama vile Simba ingeweza kujiamulia kwenda siku na Muda wowote inataka?
Kwa kuwa ulinyamaza wewe na mwingine anyamaze kudai haki yake! Na je kama haukudai tff wangejuaje kuwa kuna tatizo?Hizi kanuni na taratibu zilianza jana?Round ya kwanza hazikuwepo wakati nyie mlipokuwa wenyeji.
View attachment 3263560
Sawa tukubaliane na maelezo haya sasa ni lini simba ilifanya mazoezi kati uwanja huu kuelekea mchezo huu wa leo.Kanuni ya 45 inasema timu mgeni itafanya mazoezi angalau mara 1 kwenye uwanja wa Mechi kabla ya siku ya Mechi. Haijasisitiza iwe siku 1 kabla ya Mechi Kwa hiyo Kanuni hiyo inatoa wajibu Kwa timu mgeni kusema atakwenda lini. Unayosema ni kama vile Simba ingeweza kujiamulia kwenda siku na Muda wowote inataka?
Lakini wewe si ndiye uliye mfanyia mwenzako? Kwa hiyo mkifanya nyie sawa wakifanya wengine wamekiuka kanuni?Kwa kuwa ulinyamaza wewe na mwingine anyamaze kudai haki yake! Na je kama haukudai tff wangejuaje kuwa kuna tatizo?
Kama ulifanyiwa na ilikuwa haki yako kwenda kudai na haukwenda haimzuii aliyekufanyia kuacha kudai haki yake pale unapomfanyia wewe!Lakini wewe si ndiye uliye mfanyia mwenzako? Kwa hiyo mkifanya nyie sawa wakifanya wengine wamekiuka kanuni?
Maana mnailaumu Yanga wakati kwenye barua, mnadai Meneja hamkumpa taarifa, huku mnawalaumu watu mnao wahisi ni makomando wa Yanga,utazani hao mnao wahisi wanafunguo.
Kujua ni jambo moja na kuwa na taarifa ni jambo jingine. Siku zote tumezoea timu zinatokea makambini na pale wanawasili siku ya game. Simba sio wageni kwa uwanja wa mkapaMasome tena hiyo kanuni kuna neno ikiwa sababu ya kugomea mchezo hazitakubaliwa na kamati ya uendeshaji. Hii ina maana kumbe zipo sababu zinazowe
kanuni ilikuwa inawaruhusu simba kufanya mazoezi ktk muda unaoendana na muda wa mechi, je kamishna wa mechi au msimamizi wa uwanja hakujua hilo?
Hapa simba wanasimamia kanuni inayoendesha ligi na siyo mazoea kama kweli walikuwa hawajapata siku hata moja ya mazoezi ktk uwanja huo kwa mchezo husika wana hoja nzito.Kujua ni jambo moja na kuwa na taarifa ni jambo jingine. Siku zote tumezoea timu zinatokea makambini na pale wanawasili siku ya game. Simba sio wageni kwa uwanja wa mkapa
TFF ndio wanaoharibu mpira wa NBC Premier League kwa kuingiza siasa ndani ya mpira. Kitendo cha TFF kutoza faini ndogo za laki 5 hadi milioni 10 ndicho kinachozipa jeuri timu kukiuka kanuni za mpira. Yanga wanafahamu kuwa hata kama watapigwa faini, haizidi Tsh milion 10 ambayo haiwaumizi kiuchumi. Ikiwa faini itaongezwa kufika walau Tsh milioni 100, huu use.nge uliofanywa na Yanga na unaofanywa na timu nyingine utakoma mara moja.Katika taarifa kwa Umma waliyoitoa saa 7 na dakika 46 usiku wa 8/3/2025 klabu hiyo imesema haitoshiriki mchezo huo wa Derby uliopangwa kufanyika majira ya saa 1 usiku 8/3/2025 kutokana na kuzuiliwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa na Wanaojiita Makomandoo wa Yanga
Nini maoni yako?
soma zaidiView attachment 3263095
Pia soma:Tetesi: - Simba kugomea mechi kwakuwa hawakuruhisiwa kufanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Mkapa
Taarifa nilizonazo kutoka Kwa viongozi waandamizi wa club ya Simba ni kuwa katika kikao kilichofanyika usiku huu wamedhamiria kususia mechi Nilipomhoji kuhusu kanuni Kwa timu isiyofika uwanjani ni kukatwa points 3 na magoli 3 pamoja na kushushwa daraja, amejibu kuwa wako tayari Kwa lolote na...www.jamiiforums.com
Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi
Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika Mwendelezo: Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...www.jamiiforums.com
Yale Yale mechi imesogezwa mbeleNi ujinga na ushamba.
Hatari. Kwaiyo Simba alitakaje ili ajiamini. Kucheza na bingwa!!!!Yanga wanavunja sheria wanajua hata wakipigwa faini ya milioni tano watalipa bila shida.