Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Kwa wanaojua kanuni endapo Simba isipocheza huo mchezo itaadhibiwaje? Faini, kukatwa point, kushushwa daraja

Na vipi kuhusu Yanga nao?

Sijakusoma muda mrefu.. 😅😅😅

Football presha juu juu naona washabiki.
 
Simba na Yanga ndo taasisi kubwa kuliko zote nchini baada ya CCM. Hao TFF ni wadogo kwa hizo timu.
 
UKIFANIKIWA KUIONDOA AKILI YAKO NA MOYO WAKO KWENYE MAPENZI YA SOKA LA BONGO HASA SIMBA NA YANGA.......UTAKUWA UMEIPONYA AKILI YAKO NA NAFSI KIASI KIKUBWA SANA.....

LINAPOKUJA SUALA SIMBA NA YANGA HATA PROSEFA WA KITENGO NYETI ANAKUWA MPUMBAVU SAWA NA CHIZI

UTAKUWA UMEJITIBU AUTOMATIC TATIZO LA MSONGO WA MAWAZO NA PRESHA

UTAANZA KUONA UFANISI WA UTENDAJI KAZI WA AKILI YAKO.....

UTAREJEWA NA UTU NA UBINADAMU WAKO.....

UTAKUWA UMETATUA NUSU YA MATATIZO KWENYE MAISHA YAKO.....

HATA NDOA YAKO ITAIMARIKA
 
KWELI KABISA
 
Kweli kabisa . Matimu ya kijinga sana haya. Dunia inabadilika lakini yenyewe bado yanaamini na kuendesha timu vile vile kama enzi za ujima.
 
Watu wamelala wakiamka watakutana na hii

Inanikumbusha Mei 8 mwaka 2021 Yanga alisusia mechi tena kwa sababu ambazo ilikuwa ni mabadiliko ya ratiba ya mechi.

Let's see kitachoenda kufanyika.
Baadae nini kikatokea?
 
Kwa wanaojua kanuni endapo Simba isipocheza huo mchezo itaadhibiwaje? Faini, kukatwa point, kushushwa daraja

Na vipi kuhusu Yanga nao?
afadhali

Hakuna kitu watafanya
 
Inawezekana ni mind games tu.
Mimi, kuanzia saa 12 jioni, nitakuwepo kwa Mkapa.
 
Simba hii ya Mo na Mangungu imekuwa ya kiboya sana.
Miaka ya nyuma Simba haikuwa na watu walaini na walegevu kama hawa.
Simba inaonewa hadharani watu wametulia tu!!
 
Kuzuiwa kufanya mazoez siku Moja ndio ukatae kuingiza timu uwanjani? Ina maana siku zote walikuwa hawajajiandaa na mchezo wa Leo ? Soka la bongo Lina uswahili mwingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…