DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ni jambo jema siku ya Leo vijana waendelee na Kazi za uzalishaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi shabiki wa simba damu damu.kanuni wanatakiwa waende tff sio kusema kususia mechi.hapo wamefeliKanuni Mzee, kama kweli mliwazuia imekula kwenu.
Kwa wanaojua kanuni endapo Simba isipocheza huo mchezo itaadhibiwaje? Faini, kukatwa point, kushushwa daraja
Na vipi kuhusu Yanga nao?
Peleka Timu wewe Acha wogaInajulikana Yanga ni wahuni, lakini mamlaka zimeruhusu uhuni uwe wa kiwango hiki? Inakatisha tamaa sana.
Kama watakubali kucheza watakuwa wapuuzi
Wapeleke Timu, wanakuja na vipengele vya niniVipi kuhusu hii?View attachment 3263114
KWELI KABISAUKIFANIKIWA KUIONDOA AKILI YAKO NA MOYO WAKO KWENYE MAPENZI YA SOKA LA BONGO HASA SIMBA NA YANGA.......UTAKUWA UMEIPONYA AKILI YAKO NA NAFSI KIASI KIKUBWA SANA.....
LINAPOKUJA SUALA SIMBA NA YANGA HATA PROSEFA WA KITENGO NYETI ANAKUWA MPUMBAVU SAWA NA CHIZI
Kweli kabisa . Matimu ya kijinga sana haya. Dunia inabadilika lakini yenyewe bado yanaamini na kuendesha timu vile vile kama enzi za ujima.UKIFANIKIWA KUIONDOA AKILI YAKO NA MOYO WAKO KWENYE MAPENZI YA SOKA LA BONGO HASA SIMBA NA YANGA.......UTAKUWA UMEIPONYA AKILI YAKO NA NAFSI KIASI KIKUBWA SANA.....
LINAPOKUJA SUALA SIMBA NA YANGA HATA PROSEFA WA KITENGO NYETI ANAKUWA MPUMBAVU SAWA NA CHIZI
Baadae nini kikatokea?Watu wamelala wakiamka watakutana na hii
Inanikumbusha Mei 8 mwaka 2021 Yanga alisusia mechi tena kwa sababu ambazo ilikuwa ni mabadiliko ya ratiba ya mechi.
Let's see kitachoenda kufanyika.
afadhaliKwa wanaojua kanuni endapo Simba isipocheza huo mchezo itaadhibiwaje? Faini, kukatwa point, kushushwa daraja
Na vipi kuhusu Yanga nao?
Simba hii ya Mo na Mangungu imekuwa ya kiboya sana.Hata mimi nashangaa watoto mjini wa wa Msimbazi hawana wahuni wa kudili na hizi mbuzi za mikoani ...
Makomandoo wa utopolo wa zamani walikuwa wanajulikana wao kwa wao kucharaza viboko viongozi wao
Hawa wa kupigana na timu pinzani ni waporipori wakuja....