Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
WakubwaImeamuliwa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WakubwaImeamuliwa na nani?
Si uchawi bali ujingaSasa simba wanaenda uwanjani saa tatu usiku na vizee vimejaa basi zima. Ni ushirikina tuu serekali inatakiwa iingilie kati hawa simba na yanga wamezidi uchawi.
Simba walienda saa moja na hiyo saa tatu ndio walikuwa wanaondoka,Sasa simba wanaenda uwanjani saa tatu usiku na vizee vimejaa basi zima. Ni ushirikina tuu serekali inatakiwa iingilie kati hawa simba na yanga wamezidi uchawi.
Endelea KuotaKuhusu Yanga wao watapewa faini, wàtaongezewa point na hawatashushwa daraja.
Eti Eeh!Inasikitisha kwamba Simba SC kwa wiki nzima haifanya mazoezi kwa Mkapa angalau mara mbili 'wabadilike sio wasubiri hadi kwenye deadline' . (2) Simba SC wamezoea uwanja wa Mkapa, waache uoga walete timu uwanjani. (3) Simba watatozwa faini na mchezo utapangiwa siku nyingine.View attachment 3263106View attachment 3263107
Soka la Tanzania ni kama CCM na Chadema!Inasikitisha kwamba Simba SC kwa wiki nzima haifanya mazoezi kwa Mkapa angalau mara mbili 'wabadilike sio wasubiri hadi kwenye deadline' . (2) Simba SC wamezoea uwanja wa Mkapa, waache uoga walete timu uwanjani. (3) Simba watatozwa faini na mchezo utapangiwa siku nyingine.View attachment 3263106View attachment 3263107
HahahahaSimba wameshambua kuwa Yanga hii siyo ile waliyokutana nayo raundi ya kwanza; sasa hapa wanatafuta pa kutokea. Wameona ni heri lawama kuliko kupokea kichapo tena.
Mechi inahahirishwaEndelea Kuota
Mligomea Mechi Simba walifika Uwanjan kisa Kubadilishwa Muda Ikawaje
Kanuni haikusema timu ikibadilishiwa ratiba ya mechi igomee kushiriki mechi.Kanuni haisemi timu ngeni ikinyimwa kufanya mazoezi iginee
Kanuni haisemi timu ikizuiwa kufanya mazoezi igomee match husika,kanuni ipo wazi Yanga atapigwa faini ya hela au onyo Kali na aliegomea match atakatwa point 3 na magoli matatu.