Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Kihoro kinawasumbua simba; wameogopa kichapo. Pamoja na kuwa Uwanja wa mkapa unatumiwa na Yanga pamoja na Simba kama uwanja wa nyumbani, wao siyo wamiliki wa uwanja huo. Mmiliki ni serikali ya tanzania.

Kusema walikuwa mabaunsa wa yanga, ni kisingizioa kischo na mashiko yoyote kisheria.

Woga wa kichapo unawasumbua sana Simba wakati huu..
 
Inasikitisha kwamba Simba SC kwa wiki nzima haifanya mazoezi kwa Mkapa angalau mara mbili 'wabadilike sio wasubiri hadi kwenye deadline' . (2) Simba SC wamezoea uwanja wa Mkapa, waache uoga walete timu uwanjani. (3) Simba watatozwa faini na mchezo utapangiwa siku nyingine.
20250308_024332.jpg
20250308_024237.jpg
 
Inasikitisha kwamba Simba SC kwa wiki nzima haifanya mazoezi kwa Mkapa angalau mara mbili 'wabadilike sio wasubiri hadi kwenye deadline' . (2) Simba SC wamezoea uwanja wa Mkapa, waache uoga walete timu uwanjani. (3) Simba watatozwa faini na mchezo utapangiwa siku nyingine.View attachment 3263106View attachment 3263107
Soka la Tanzania ni kama CCM na Chadema!
Yaani ni vurugu tupu!
 
Simba wameshatambua kuwa Yanga hii siyo ile waliyokutana nayo raundi ya kwanza; sasa hapa wanatafuta pa kutokea. Wameona ni heri lawama kuliko kupokea kichapo tena.
 
Kanuni haisemi timu ngeni ikinyimwa kufanya mazoezi iginee

Kanuni haisemi timu ikizuiwa kufanya mazoezi igomee match husika,kanuni ipo wazi Yanga atapigwa faini ya hela au onyo Kali na aliegomea match atakatwa point 3 na magoli matatu.
Kanuni haikusema timu ikibadilishiwa ratiba ya mechi igomee kushiriki mechi.

Lakini siku na mwezi kama huu mwaka 2021 mligomea match. Mlikatwa point?
 
Ubabaishaji kwenye taifa hili upo kila mahali, hata ambapo hapakupaswa kuwa hivyo .

Haikosi mkono wa rushwa kwenye sakata hili.
Japo mchana wa kesho watakuwa wamemalizana na mchezo kuendelea
 
Back
Top Bottom