Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Shida timu zetu zimejikita kwenye imani ya KISHIRIKINA SANA.
Kuna haja ya kuandaa timu za wasomi walio elimika sio hiki kizazi kilicho lelewa kwenye tunguli.

Yanga wanaamini sana tunguli.
 
Simba kagoma, hivyo adhabu ni kupewa Yanga point 3 na Simba kupigwa faini kulingana na sheria za TFF za kukwepa kucheza mechi bila sbb za msingi.

Simba wanaogopa sana Yanga, kama vile Panya kwa Paka.
Hawatopewa adhabu based on tukio. Kunakanuni imevunjwa na wana haki ya kudai
 
Shida timu zetu zimejikita kwenye imani ya KISHIRIKINA SANA.
Kuna haja ya kuandaa timu za wasomi walio elimika sio hiki kizazi kilicho lelewa kwenye tunguli.
Bongo si unaona wasomi hao hao bado wana mindset za kizamani?
 
Point 3 na magoli 3 safi sana
Nilitaka magoli matano wahuni wamekimbia uwanja wakitaka tuwafate huko Boko sawa tu nilitaka kushangaa wana Timu ipi ya kusumbuana na Pacome,Mzize,Max Dube na Ki wahuni wana mbinu nyingi sana. nje ya Uwanja.
 
Asee Mimi ni mwanasimba kindakindaki but kilichofanywa na timu hizi mbili uchwara za nchi hii ni aibu na ukatili mkubwa Kwa mashabiki wa timu hizi duniani kote.
Mpira wetu umejaa unafiki, chuki, fitna rushwa na gubu.
Kwenu Simba , mmeshindwa hata kujali mashabiki wenu waliotoka kote mikoani na Afrika, waliolipa Hela nyingi kucheki mchezo huu?
Kirahisi tu mnatangaza hatutaingia uwanjani!
Wataingia hata kwa bakora hawa!
 
Swahiba Mgagaa na Upwa hatimaye Makolo wamefikia huku. 🤣🤣
Swahiba makolo wanacheza na akili za mashabiki wao 😂😂
Screenshot_20250223_205459_Gallery.jpg
 
Hapo akuna mjadala kanuni zipo wazi Simba asipotokea uwanjani ni yanga kupewa point 3 na magoli 3, Akuna kanuni inayosema ukizuiwa kufanya mazoezi ya mwisho basi ugomee kucheza mechi,,kama ni adhabu zipo kikanuni ambapo ingethibitika ivyo yanga angepewa onyo ama kupigwa faini ya milioni Moja au mbili na sio timu kugomea mechi!
Simba wasicheze hiyo mechi kwakuwa wakifanya hivyo itakuwa wamekubaliana na walichokifanya Yanga.

Na Yanga atakuwa anakirudia hicho kitendo mara kwa mara.
 
Katika taarifa kwa Umma waliyoitoa saa 7 na dakika 46 usiku wa 8/3/2025 klabu hiyo imesema haitoshiriki mchezo huo wa Derby uliopangwa kufanyika majira ya saa 1 usiku 8/3/2025 kutokana na kuzuiliwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa na Wanaojiita Makomandoo wa Yanga

Nini maoni yako?

soma zaidiView attachment 3263095

Pia soma:
Maamuzi mazuri sana haya, hii safi upumbavu huu wa Yanga SC sio wa kuuchekea
 
Hivi kanuni zinasema usporuhusuwa kufanya mazoezi ususie mechi?

Hivi Simba Ina maana ikikosa hayo mazoezi ya usiku isingekuwa fiti?

Na kwanini mazoezi yakafanyike usiku wakiwa na jopo la wazee (waganga)?
 
Acha kufananisha tukio la yanga na hili, yanga alibadilishiwa ratiba masaa machache kabla ya mchezo 😂😂. Mnakimbia mechi
Watu wamelala wakiamka watakutana na hii

Inanikumbusha Mei 8 mwaka 2021 Yanga alisusia mechi tena kwa sababu ambazo ilikuwa ni mabadiliko ya ratiba ya mechi.

Let's see kitachoenda kufanyika.
 
Ubabaishaji kwenye taifa hili upo kila mahali, hata ambapo hapakupaswa kuwa hivyo .

Haikosi mkono wa rushwa kwenye sakata hili.
Japo mchana wa kesho watakuwa wamemalizana na mchezo kuendelea
Sasa kama chama tawala kinafundisha wizi wa kura hata makundi mengine nchini yanaona ni kawaida kuiba haki au airtime ya wenzao.
Watu wa vijijini wamekuwa matapeli wa ardhi sababu wanajus hata nchi mtawala anapoka haki kwa wapinzani, business as usual.
 
Hawatopewa adhabu based on tukio. Kunakanuni imevunjwa na wana haki ya kudai
Sawa. Kanuni imevunjwa. Je kanuni hiyo iliyovunjwa inasemaje kama kuna timu imevunja kanuni?

Ni adhabu ya 1 to 2M na sio kukimbia mechi mzee.
 
Sawa. Kanuni imevunjwa. Je kanuni hiyo iliyovunjwa inasemaje kama kuna timu imevunja kanuni?

Ni adhabu ya 1 to 2M na sio kukimbia mechi mzee.
Unaelewa ulichoandika? Umeona barua hapo imeanisha kanuni na taratibu ipi imekiukwa?
Ulishawahi hudhuria kesi yoyote?

Huwez toa adhab kwa mshtaki ,wakati huja resolve kesi aliyo present
 
Katika taarifa kwa Umma waliyoitoa saa 7 na dakika 46 usiku wa 8/3/2025 klabu hiyo imesema haitoshiriki mchezo huo wa Derby uliopangwa kufanyika majira ya saa 1 usiku 8/3/2025 kutokana na kuzuiliwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa na Wanaojiita Makomandoo wa Yanga

Nini maoni yako?

soma zaidiView attachment 3263095

Pia soma:
Tehe......tehe......tehe..... Mnaenda sehemu wakati wamiliki wa uwanja hamjawapa taarifa.
 
Back
Top Bottom