Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawatopewa adhabu based on tukio. Kunakanuni imevunjwa na wana haki ya kudaiSimba kagoma, hivyo adhabu ni kupewa Yanga point 3 na Simba kupigwa faini kulingana na sheria za TFF za kukwepa kucheza mechi bila sbb za msingi.
Simba wanaogopa sana Yanga, kama vile Panya kwa Paka.
Bongo si unaona wasomi hao hao bado wana mindset za kizamani?Shida timu zetu zimejikita kwenye imani ya KISHIRIKINA SANA.
Kuna haja ya kuandaa timu za wasomi walio elimika sio hiki kizazi kilicho lelewa kwenye tunguli.
Nilitaka magoli matano wahuni wamekimbia uwanja wakitaka tuwafate huko Boko sawa tu nilitaka kushangaa wana Timu ipi ya kusumbuana na Pacome,Mzize,Max Dube na Ki wahuni wana mbinu nyingi sana. nje ya Uwanja.Point 3 na magoli 3 safi sana
Wataingia hata kwa bakora hawa!Asee Mimi ni mwanasimba kindakindaki but kilichofanywa na timu hizi mbili uchwara za nchi hii ni aibu na ukatili mkubwa Kwa mashabiki wa timu hizi duniani kote.
Mpira wetu umejaa unafiki, chuki, fitna rushwa na gubu.
Kwenu Simba , mmeshindwa hata kujali mashabiki wenu waliotoka kote mikoani na Afrika, waliolipa Hela nyingi kucheki mchezo huu?
Kirahisi tu mnatangaza hatutaingia uwanjani!
Swahiba makolo wanacheza na akili za mashabiki wao 😂😂Swahiba Mgagaa na Upwa hatimaye Makolo wamefikia huku. 🤣🤣
Simba wasicheze hiyo mechi kwakuwa wakifanya hivyo itakuwa wamekubaliana na walichokifanya Yanga.Hapo akuna mjadala kanuni zipo wazi Simba asipotokea uwanjani ni yanga kupewa point 3 na magoli 3, Akuna kanuni inayosema ukizuiwa kufanya mazoezi ya mwisho basi ugomee kucheza mechi,,kama ni adhabu zipo kikanuni ambapo ingethibitika ivyo yanga angepewa onyo ama kupigwa faini ya milioni Moja au mbili na sio timu kugomea mechi!
Leta ushahidiSasa simba wanaenda uwanjani saa tatu usiku na vizee vimejaa basi zima. Ni ushirikina tuu serekali inatakiwa iingilie kati hawa simba na yanga wamezidi uchawi.
Maamuzi mazuri sana haya, hii safi upumbavu huu wa Yanga SC sio wa kuuchekeaKatika taarifa kwa Umma waliyoitoa saa 7 na dakika 46 usiku wa 8/3/2025 klabu hiyo imesema haitoshiriki mchezo huo wa Derby uliopangwa kufanyika majira ya saa 1 usiku 8/3/2025 kutokana na kuzuiliwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa na Wanaojiita Makomandoo wa Yanga
Nini maoni yako?
soma zaidiView attachment 3263095
Pia soma:Tetesi: - Simba kugomea mechi kwakuwa hawakuruhisiwa kufanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Mkapa
Taarifa nilizonazo kutoka Kwa viongozi waandamizi wa club ya Simba ni kuwa katika kikao kilichofanyika usiku huu wamedhamiria kususia mechi Nilipomhoji kuhusu kanuni Kwa timu isiyofika uwanjani ni kukatwa points 3 na magoli 3 pamoja na kushushwa daraja, amejibu kuwa wako tayari Kwa lolote na...www.jamiiforums.com
Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi
Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika Mwendelezo: Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...www.jamiiforums.com
Yanga inakosa gani?Kwa wanaojua kanuni endapo Simba isipocheza huo mchezo itaadhibiwaje? Faini, kukatwa point, kushushwa daraja
Na vipi kuhusu Yanga nao?
Watu wamelala wakiamka watakutana na hii
Inanikumbusha Mei 8 mwaka 2021 Yanga alisusia mechi tena kwa sababu ambazo ilikuwa ni mabadiliko ya ratiba ya mechi.
Let's see kitachoenda kufanyika.
Sasa kama chama tawala kinafundisha wizi wa kura hata makundi mengine nchini yanaona ni kawaida kuiba haki au airtime ya wenzao.Ubabaishaji kwenye taifa hili upo kila mahali, hata ambapo hapakupaswa kuwa hivyo .
Haikosi mkono wa rushwa kwenye sakata hili.
Japo mchana wa kesho watakuwa wamemalizana na mchezo kuendelea
Sawa. Kanuni imevunjwa. Je kanuni hiyo iliyovunjwa inasemaje kama kuna timu imevunja kanuni?Hawatopewa adhabu based on tukio. Kunakanuni imevunjwa na wana haki ya kudai
Hiko ndio sahihi. Jamaa walishaingia woga wale.Pamoja na yote yaliyotokea, kimsingi Simba hawaruhusiwi kugomea mechi. Wanachotakiwa kufanya ni kuwasilisha malalamiko yao kwa Wasimamizi wa Mpira Tanzania ambao ni TFF.
Unaelewa ulichoandika? Umeona barua hapo imeanisha kanuni na taratibu ipi imekiukwa?Sawa. Kanuni imevunjwa. Je kanuni hiyo iliyovunjwa inasemaje kama kuna timu imevunja kanuni?
Ni adhabu ya 1 to 2M na sio kukimbia mechi mzee.
Tehe......tehe......tehe..... Mnaenda sehemu wakati wamiliki wa uwanja hamjawapa taarifa.Katika taarifa kwa Umma waliyoitoa saa 7 na dakika 46 usiku wa 8/3/2025 klabu hiyo imesema haitoshiriki mchezo huo wa Derby uliopangwa kufanyika majira ya saa 1 usiku 8/3/2025 kutokana na kuzuiliwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa na Wanaojiita Makomandoo wa Yanga
Nini maoni yako?
soma zaidiView attachment 3263095
Pia soma:Tetesi: - Simba kugomea mechi kwakuwa hawakuruhisiwa kufanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Mkapa
Taarifa nilizonazo kutoka Kwa viongozi waandamizi wa club ya Simba ni kuwa katika kikao kilichofanyika usiku huu wamedhamiria kususia mechi Nilipomhoji kuhusu kanuni Kwa timu isiyofika uwanjani ni kukatwa points 3 na magoli 3 pamoja na kushushwa daraja, amejibu kuwa wako tayari Kwa lolote na...www.jamiiforums.com
Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi
Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika Mwendelezo: Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...www.jamiiforums.com