Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Hii kesi ni ndogo tu,tunahitaji barua au barua pepe ya kuthibitisha kuwa Simba ametoa taarifa ya kwenda kufanya mazoezi,wasijizonge na kuleta siasa katika mpira.

Mechi ipo
Ndiyo. Kesi ndogo. Kanuni haijataja kutoa taarifa.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Utopolo msitafute pa kujificha. Mmezuia timu pinzani kujiandaa / isifanye mazoezi kama kanuni inavyotaka.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Taarifa ya nini wakati sheria inaruhusu timu ya ugenini ifanye mazoezi angalau mara mbili muda wa mechi itaochezwa kabla ya siku ya mechi?

Weka hiyo sheria inayotaka timu inatakiwa itoe taarifa kwa meneja
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Taarifa ya nini wakati sheria inaruhusu timu ya ugenini ifanye mazoezi angalau mara mbili muda wa mechi itaochezwa kabla ya siku ya mechi?

Weka hiyo sheria inayotaka timu inatakiwa itoe taarifa kwa meneja
Kuku na Mbuzi pamoja na wale Wazee usiku wanafuata nini uwanjani? Kanuni gani inayoruhusu hilo kufanyika? Onyesha kifungu
 
Kumbe kuna sababu nyingi zinazofanya Utopolo watolewe mapema kimataifa
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Wabongo huamini katika fadhila na sio kusimamia haki zao..

Sheria imetaka hivi, halafu wewe unasema taarifa. Taarifa kwenye kufuata taratibu?

Yaani palepale getini wangetakiwa wafunguliwe waingie na si vinginevyo... Mnafeli wapi wanadamu?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Simba kunyimwa kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Mkapa ilikuwa sawa.

Uwanja wa Mkapa uko kwenye matengenezo, na bahati nzuri timu zote hakuna inayocheza Wala kufanya mazoezi yake pale. Lakini bahati nzuri timu zote zinaufahamu uwanja kwa viwango sawa. Hivyo, Simba na Yanga hakuna timu mwenyeji Wala ngeni kwenye uwanja wa mkapa, labda mambo ya uchawi TU.

Fanyieni mazoezi yenu huko bunju na avic mje mcheze kwa Mkapa fullstop!!


View: https://www.instagram.com/p/DG6lcjctZJQ/?igsh=MWVoaXI1emxscTV4OQ==
 
Back
Top Bottom