Simba sherehe kubwa Makombe na Mataji sifuri!

Kama hawajapata makombe lakini hamasa ni kubwa hivi Basi inamaanisha mashabiki wanaimani na wanaujua ubora wa timu yao, tofauti na yanga iliyopata makombe na bado hamasa ipo chini kujaza tu uwanja wameshindwa inaonekana mashabiki hawana uhakika na yanayokuja mbele timu haina ushawishi
 
wanachokifanya Simba sio sherehe Bali ni utamaduni wao waliouanzisha zaidi ya miaka 10 iliyopita,mmejaribu kuiga lakini hamujaweza kufikia kiwango Cha Simba na hicho ndio kinakusumbua.
 
Ni kwa sababu ni ma mbumbumbu kama alivyowaita Aden Rage!
 
Unataka kusema huwa hufurahii hata kumuona tu msanii wao bora wa muda wote (Tundaman) akiingia uwanjani huku akiwa ndani ya jeneza!! ⚰️
 
Pamoja na makombe lakini uwanja ulikuwa tupu sasa nyie msaidiweje?
 
Maswali yote uliyomuuliza majibu yake yapo hapo hapo
 
Hata wewe uliwahi kuwa na tamasha tena zuri tu bila kuwa na kikombe hata cha kahawa na lilifana sana, sema binadamu tumeumbiwa kusahau, siku ya kula nyama kawaida kutukana maharage.
 
Tujadili miaka sita nyuma sio miwili
Ni vema mngemualika Joketi aanzishe kampeni ya kufuta zero kama alivyofanya alipokuwa DC Kisarawe badala ya kumualika Rais Samia kumuonyesha barua za mialiko!
 
Hata wewe uliwahi kuwa na tamasha tena zuri tu bila kuwa na kikombe hata cha kahawa na lilifana sana, sema binadamu tumeumbiwa kusahau, siku ya kula nyama kawaida kutukana maharage.
Sawa anzisheni kampeni ya kufuta zero kwa msaada wa Joketi badala kumsumbua Rais Samia kuona barua ya mwaliko!
 
Sawa anzisheni kampeni ya kufuta zero kwa msaada wa Joketi badala kumsumbua Rais Samia kuona barua ya mwaliko!
Ukiwa bwege bwana ni bwege tuuu

Mpira sio kombe pekee Kuna vitu vingi ndani yake, malengo ya simba day sio kusherekea makombe, kwaiyo kisming wew ni mjinga mmoja ulie amua kutafuta furaha kwa kuficha wivu na maumivu ya mafanikio ya simba,

Kwenye kila jambo mtu anatakiwa kuiangalia kusudi na malengo yake ni yep Sasa ni Sawa na mtu alie amua kufuga kuku mbwa paka badala ya kufuga sungura wew utamuona mjinga ila lengo lake alikuwa kula nyama
 
Wapumbavu kama wewe ndiyo mnasababisha timu yenu iambulie sifuri katika kuwania makombe na mataji!

Washauri Simba waanzishe mandombolo msherekee mwaka mzima!

Futa zero Simba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…