Umeandika utopoloranking sio kombe punguza kujitetea ujinga.
Mbona unateseka sana. Shida nini?Wapumbavu kama wewe ndiyo mnasababisha timu yenu iambulie sifuri katika kuwania makombe na mataji!
Washauri Simba waanzishe mandombolo msherekee mwaka mzima!
Futa zero Simba!
Tuonyeshe hiyo ranking hapo Msimbazi halafu mimi nikuonyesha mataji kabatini hapo Jangwani!Umeandika utopolo
Kama siyo ranking hayo makombe yana maana gani kama unaishia kucheza shirikisho? Kuchukua makombe yanamaana kuwa wewe ni timu bora. Sasa kwanini mshindi wa pili anakuzidi wakati hata msimu uliopita ulichukua kombe na ngao ya jamii?
Kwa akili za wanayanga ndiyo maana mkaitwa wananchi na mkashindwa kutamka neno Young Africans mkaishia Yanga.
Unateseka ukiwa wapi Utopolo FC?
Wewe una tsh ngao apa mjiniMoja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.
Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
Nateseka ZEROS! Huwezi kuwa mzima kichwani?Mbona unateseka sana. Shida nini?
Mnaumia sana Simba kuwa club bora Afrika kuliko Yanga au unaumia sana Simba kucheza Champion league mpk robo fainail na kwenda kucheza Super cup.
"Wananchi hawana haki"
Mbona hueleweke wee Kolo.Wewe una tsh ngao apa mjini
Wewe ni mjinga mwngine usie na uelewa wa mambo shida wivu na maumivu ya roho ya chukiWapumbavu kama wewe ndiyo mnasababisha timu yenu iambulie sifuri katika kuwania makombe na mataji!
Washauri Simba waanzishe mandombolo msherekee mwaka mzima!
Futa zero Simba!
Mnapaswa kuomboleza na siyo kusherehekea!Wewe ni mjinga mwngine usie na uelewa wa mambo shida wivu na maumivu ya roho ya chuki
Singida, azam, kmc, na wengine wame iga hii toka kwa simba na wanafanya Hao wote hawana makombe ila simba tuu
Inakuwasha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sifuri! ZEROS!Shida ya nini
Mmechomekwa mbumbumbu fc nyie ndiyo sababu mnasherekea sifuri!Ukiona inakuuma sana mkuu chomoa
NakaziaWanaume kuwa na wivu wa kike ni aibuuu
Unakazwa!Nakazia
Trending za ZEROS! You are not serious!Hiki kipindi cha usajili na Pre season Yanga mmepatishwa sana na trending za Simba
Oya kama kinawasha sema wakunaji wapoUnakazwa!
Ondoa zero Simba!Oya kama kinawasha sema wakunaji wapo
Kunywa maji mengi sana. Kama amepata zero. Mbona unateseka?Nateseka ZEROS! Huwezi kuwa mzima kichwani?
Unateseka ukiwa wapi? Andamana ukiwa uchi, watakusikiaOndoa zero Simba!