Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 943
- 1,944
Pole sana..Nimejawa na huzuni kubwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana..Nimejawa na huzuni kubwa!
Lakini ni sherehe halafu umekiri kuwa ni kubwa si ndiyo?Moja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.
Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
Idiot! Jibu maswali!Bure kabisa. Kifupi umeuliza maswali hata junior wangu wa miaka miwili angejiongeza kabla hajauliza. Rubbish.
😁😁🙆
Sasa sijui mnasherekea kushindwa au hamjui mnafanya nini!Lakini ni sherehe halafu umekiri kuwa ni kubwa si ndiyo?
KuchezaMoja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.
Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
Mbumbumbu kweli weweKucheza
1. CAF champion league mpk robo fainail ni zaidi ya makombe
2. African super cup ni zaidi ya makombe
3. Kuwa kwenye 10 bora za timu bora Afrika ni moja ya makombe.
A. Hayo makombe Simba haijawahi kuchukua?
B. Hayo makombe ambayo yanga amechukua, yanafika 4 bilion alizopewa Simba km hela ya maandalizi ya kucheza African Super Cup?
KuchezaNimecheka sana.kama tumbili!! Ndo sherehe yao mambumbumbu acha wakafarijiane
Ndiyo utajiuliza kwanini Yanga imecheza mpk fainali shirikisho halafu haipo kwenye African Super cup na Simba iliyocheza Kombe la washindi mpk robo fainali ipo African super cup?Mbumbumbu kweli wewe
Watu wanasema makombe we unasema historia
Mara super league
MMoja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.
Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
Wee mbumbumbu unaelewa kwa nini makombe yanashindaniwa?Kucheza
1. CAF champion league mpk robo fainail ni zaidi ya makombe
2. African super cup ni zaidi ya makombe
3. Kuwa kwenye 10 bora za timu bora Afrika ni moja ya makombe.
A. Hayo makombe Simba haijawahi kuchukua?
B. Hayo makombe ambayo yanga amechukua, yanafika 4 bilion alizopewa Simba km hela ya maandalizi ya kucheza African Super Cup?
Wewe ni utopolo FC kweli tena wale lia lia.Mbumbumbu kweli wewe
Watu wanasema makombe we unasema historia
Mara super league
Makombe yako yamekupeleka wapi jirani...Mbumbumbu kweli wewe
Watu wanasema makombe we unasema historia
Mara super league
Kuhusu vikombe anatakiwa aainishe vipi maana simba wanavyo vingi kuwashinda...Simba haichagui shindano kokote inachanja mbugaWewe ni utopolo FC kweli tena wale lia lia.
Pamoja na vikombe vyote lkn bado timu bora barani Afrika kutoka Tanzania ni Simba.
Ngoja wanaume tukacheze African Super cup, wewe ubaki na vikombe vyako vya milion 200
Kweli wewe ni utopolo FC. Km yanashindaniwa, kacheze ndondo cup napo kuna makombe pia yanashindaniwa.Wee mbumbumbu unaelewa kwa nini makombe yanashindaniwa?
Niambie kama kuna mashindano ya kushiriki!
Simba day toka 2008 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Moja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.
Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
Hayo makombe uliyochukua ndiyo yamekupeleka ukacheze kombe la washindi wa 3 na 4 kwenye league zao za nyumbani na walioshindwa CAF champion League.Kuhusu vikombe anatakiwa aainishe vipi maana simba wanavyo vingi kuwashinda...Simba haichagui shindano kokote inachanja mbuga