Simba sherehe kubwa Makombe na Mataji sifuri!

Moja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.

Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
Lakini ni sherehe halafu umekiri kuwa ni kubwa si ndiyo?
 
Moja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.

Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
Kucheza
1. CAF champion league mpk robo fainail ni zaidi ya makombe
2. African super cup ni zaidi ya makombe
3. Kuwa kwenye 10 bora za timu bora Afrika ni moja ya makombe.
A. Hayo makombe Simba haijawahi kuchukua?
B. Hayo makombe ambayo yanga amechukua, yanafika 4 bilion alizopewa Simba km hela ya maandalizi ya kucheza African Super Cup?
 
Mbumbumbu kweli wewe
Watu wanasema makombe we unasema historia
Mara super league
 
Nimecheka sana.kama tumbili!! Ndo sherehe yao mambumbumbu acha wakafarijiane
Kucheza
1. CAF champion league mpk robo fainail ni zaidi ya makombe
2. African super cup ni zaidi ya makombe
3. Kuwa kwenye 10 bora za timu bora Afrika ni moja ya makombe.
A. Hayo makombe Simba haijawahi kuchukua?
B. Hayo makombe ambayo yanga amechukua, yanafika 4 bilion alizopewa Simba km hela ya maandalizi ya kucheza African Super Cup?
 
Mbumbumbu kweli wewe
Watu wanasema makombe we unasema historia
Mara super league
Ndiyo utajiuliza kwanini Yanga imecheza mpk fainali shirikisho halafu haipo kwenye African Super cup na Simba iliyocheza Kombe la washindi mpk robo fainali ipo African super cup?
Mkajipange tena. Hiyo ndiyo Simba, hayo makombe Simba ameshachukua sana. Mtajua kuwa Yanga anakimbiza mwenge tu.
Thamani ya hayo makombe yanaweza kufikia Bilion 4 alizochukua Simba kwenda kucheza African Super Cup?
 
Simba ni sawa na Demu mwenye takooo kubwaa lakini akili nukta.....
Moja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.

Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
M
 
Kucheza
1. CAF champion league mpk robo fainail ni zaidi ya makombe
2. African super cup ni zaidi ya makombe
3. Kuwa kwenye 10 bora za timu bora Afrika ni moja ya makombe.
A. Hayo makombe Simba haijawahi kuchukua?
B. Hayo makombe ambayo yanga amechukua, yanafika 4 bilion alizopewa Simba km hela ya maandalizi ya kucheza African Super Cup?
Wee mbumbumbu unaelewa kwa nini makombe yanashindaniwa?

Niambie kama kuna mashindano ya kushiriki!
 
Mbumbumbu kweli wewe
Watu wanasema makombe we unasema historia
Mara super league
Wewe ni utopolo FC kweli tena wale lia lia.
Pamoja na vikombe vyote lkn bado timu bora barani Afrika kutoka Tanzania ni Simba.
Ngoja wanaume tukacheze African Super cup, wewe ubaki na vikombe vyako vya milion 200
 
Kuhusu vikombe anatakiwa aainishe vipi maana simba wanavyo vingi kuwashinda...Simba haichagui shindano kokote inachanja mbuga
 
Wee mbumbumbu unaelewa kwa nini makombe yanashindaniwa?

Niambie kama kuna mashindano ya kushiriki!
Kweli wewe ni utopolo FC. Km yanashindaniwa, kacheze ndondo cup napo kuna makombe pia yanashindaniwa.
Pole sana, kunywa maji mengi.
Wanaume wanaenda kucheza African super cup halafu wameshavuta bilion 4 tayari.
Yanga ni timu ya wananchi kweli. Karibu kwenye timu ya wenye nchi
 
Moja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.

Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
Simba day toka 2008 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unaimia pole mwana utopolo.
 
Kuhusu vikombe anatakiwa aainishe vipi maana simba wanavyo vingi kuwashinda...Simba haichagui shindano kokote inachanja mbuga
Hayo makombe uliyochukua ndiyo yamekupeleka ukacheze kombe la washindi wa 3 na 4 kwenye league zao za nyumbani na walioshindwa CAF champion League.
Ungekuwa bingwa usingecheza CAF champion league mechi 2
 
Back
Top Bottom