Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana alikua anatafutiwa sababu na imeshapatikana
Simba ilikuwepo kabla ya huo Patrick wenu na itaendelea kuwepo hata akisepa, wacha asepe tu. Tulikuwa tunapigaga mtu saba bila Leo tunashinda kamoja bila! Asepe.
Nawasifu sana viongozi wa simba kwa kuweza kustudy trend ya timu na kuchukua hatua haraka, kwa Patrick tungemaliza ligi nafasi ya pili au ya tatu. Timu ilikuwa ina increase point kwa maana ya kuongoza at decreasing rate ya magoli Mara droi Mara kuchapwa and good for him ana watetezi. Hao waliomleta Patrick ndio hao wanamuondoa, sasa shida nnImbecile.
Mbona nyie wabongo mmekuwa wabaguzi kiasi hiki? Yaani kosa kuwa mbrazili au? Mbona dau walilosajiliwa ni kama LA wachezaji wa bongo tu! Yaani Tsh ml 70. Only. Hawa wageni wanaleta ladha tofauti kabisa. Mfano mavyenga yenu hawa jamaa hawana hilo liko poa, wao ni majalo tu. Na nimefaatilia mechi zote za ushindani walizocheza wabrazili simba imeshinda. Mechi alizokaa fraga benchi akacheza mkude ndo tumedraw au kupigwa. Fanyeni tafiti zaidi.Poleni sana mikia Fc,alipofukuzwa Zahera mkashangilia sana hamkujua kitakachofuata kwenu na sasa mambo ni moto ile mbaya.
Hakika hili ndo soka la Bongo linaloendeshwa kibabaishaji na watu wanaojiita watu wa moira,wapiga dili,waganga njaa wa kariakoo,tangu lini mchezaji atoke Brazil aje kucheza soka Bongo kama siyo uzwazwa ni nini?,nani aliwaleta hao wachezaji?,lilikuwa ni pendekezo la kocha?,waletwe na wengine abebeshwe zigo kocha?,safari yetu bado sana kwenye soka na itatuchukua karne na karne kupata mafanikio tena mpaka hiki kizazi cha wapiga dili kitakapokuwa kimefutika kabisaaaa
Mchezaji akitoka Brazil ni marufuku kucheza Tanzania, mkawafukuze na wachina wanaofanya umachinga Kariakoo maana nchi yao ni ya pili kwa uchumi duniani.Poleni sana mikia Fc,alipofukuzwa Zahera mkashangilia sana hamkujua kitakachofuata kwenu na sasa mambo ni moto ile mbaya.
Hakika hili ndo soka la Bongo linaloendeshwa kibabaishaji na watu wanaojiita watu wa moira,wapiga dili,waganga njaa wa kariakoo,tangu lini mchezaji atoke Brazil aje kucheza soka Bongo kama siyo uzwazwa ni nini?,nani aliwaleta hao wachezaji?,lilikuwa ni pendekezo la kocha?,waletwe na wengine abebeshwe zigo kocha?,safari yetu bado sana kwenye soka na itatuchukua karne na karne kupata mafanikio tena mpaka hiki kizazi cha wapiga dili kitakapokuwa kimefutika kabisaaaa
Jamaa hawafuatilii mpira wakienda kuangalia mpira bar wanaishia kulewa tu. Wa-Brazil wapo vema sana tu.Mbona nyie wabongo mmekuwa wabaguzi kiasi hiki? Yaani kosa kuwa mbrazili au? Mbona dau walilosajiliwa ni kama LA wachezaji wa bongo tu! Yaani Tsh ml 70. Only. Hawa wageni wanaleta ladha tofauti kabisa. Mfano mavyenga yenu hawa jamaa hawana hilo liko poa, wao ni majalo tu. Na nimefaatilia mechi zote za ushindani walizocheza wabrazili simba imeshinda. Mechi alizokaa fraga benchi akacheza mkude ndo tumedraw au kupigwa. Fanyeni tafiti zaidi.
Sasa hivi hata wakimwacha abaki simba unadhani atakuwa na moyo kweli?washamvunja moyo
Ki ukweli wabrazili sio wachezaji wabaya sana. Lakini viongozi walichochemka ni kuwaondoa akina Okwi, Kotei na Niyozima na kuwaleta hao wabrazili ambao uwezo wao upo chini ya hao walioondolewa. Pia kuna wachezaji hapa Dar kwenye ndondo cup wana uwezo kuliko hao wabrazili. Sasa viongozi waliingia gharama ya nini kuwaleta watu toka mbali ulipie ndege, uwapangie nyumba wakati unaweza kuwapata wenye uwezo kama huo hapa hapa hapo tu Kinesi. Kama yule fowadi mbrazili hata makocha wanaona aibu kumpanga; hivi Simba si wangemsajili hata Paul Nonga tu. Na yule beki wakati Bakari Nondo anamzidi uwezo sana tu.
Ukiona mtu anawatetea wabrazili hapa jua hao ndio viongozi waliomuingiza Mo chaka au wana undugu na hao viongozi. Mchezaji akitoka nje hata hapo Kenya/Uganda anatakiwa awe na uwezo kuwazidi wachezaji wa ndani sembuse hao waliotoka Brazili tunategemea wawe na uwezo mara tatu zaidi ya wabongo.
Kiukweli Ausems anafukuzwa tu ili kuficha mapungufu ya usajili uliofanywa na viongozi. Mfumo wa Ausems ndio mfumo ninao uzimia sana wa kushambulia mwanzo mwisho kwa nini hawa viongozi wanaojifanya kuujua mpira hawakuliona hilo
Nategea Kusikiliza Vipindi vyote vya Michezo Redio leo kuanzia Wasafi, Efm,TBC Taifa, Radio One, Magic fm, East Africa Radio na mwishoni Clouds fm na nikisikia tu na Kuthibitishiwa kuwa Simba Sports Club imeachana na Kocha Patrick Aussems nami naachana rasmi Kuishabikia Simba SC ( japo sitoihama ) lakini sitoshughulika nayo kwa lolote na chochote kile badala yake sasa nitakaa zangu pembeni Kuangalia ' Anguko ' Kubwa la Kiwango cha Timu na hatimaye Kufanya vibaya. GENTAMYCINE bado sijaona sababu ya ' Kiutaalam ' ya Kuachana ( Kumuondoa ) Kocha Aussems isipokuwa najua kuna ' Wahuni ' wa 10% na Wazee wa Majungu, Fitina na Unafiki ndiyo wanasababisha huu ' Upuuzi ' wote na ' Laana ' yangu kama Aussems akifukuzwa kweli itawaangukia na watateseka mno. Nadhani huyu Kocha Simba SC ndiyo tulitakuwa tumuheshimu, tumtunze na tumpe Ushirikiano wote ili azidi kutupa Mafanikio badala yake tunaendeleza ule ule ' Uswahili ' wetu tuliobarikiwa na Kukomaa nao tokea enzi na enzi.
Huyo Aussems mwenyewe amekuja kwa 10 per cent, haiingii akilini unamwacha Leschante na Masoud Jouma unamleta kocha ambae hata kufanya sub ni issue.Nategea Kusikiliza Vipindi vyote vya Michezo Redio leo kuanzia Wasafi, Efm,TBC Taifa, Radio One, Magic fm, East Africa Radio na mwishoni Clouds fm na nikisikia tu na Kuthibitishiwa kuwa Simba Sports Club imeachana na Kocha Patrick Aussems nami naachana rasmi Kuishabikia Simba SC ( japo sitoihama ) lakini sitoshughulika nayo kwa lolote na chochote kile badala yake sasa nitakaa zangu pembeni Kuangalia ' Anguko ' Kubwa la Kiwango cha Timu na hatimaye Kufanya vibaya. GENTAMYCINE bado sijaona sababu ya ' Kiutaalam ' ya Kuachana ( Kumuondoa ) Kocha Aussems isipokuwa najua kuna ' Wahuni ' wa 10% na Wazee wa Majungu, Fitina na Unafiki ndiyo wanasababisha huu ' Upuuzi ' wote na ' Laana ' yangu kama Aussems akifukuzwa kweli itawaangukia na watateseka mno. Nadhani huyu Kocha Simba SC ndiyo tulitakuwa tumuheshimu, tumtunze na tumpe Ushirikiano wote ili azidi kutupa Mafanikio badala yake tunaendeleza ule ule ' Uswahili ' wetu tuliobarikiwa na Kukomaa nao tokea enzi na enzi.
Huyo msahau, analetwa Lewing soon. Alafu mnaambulia vichapo mfululizo ndiyo akili itawakaa sawa.