Simba Sports Club imeshika no 6 ya Club bora Africa

Basi jibu unalo.. maana sisi kwa kuingia tu makundi tumeongeza point..na tumewapa mbeleko nyie mwakani mje mtolewe tena round ya kwanza
Hamna point hapo,kuna asec hapo wakifika hatua nzuri nanyi mkaboronga point zitaenda ivory coast,na kuhusu ushiriki wa caf msimu ujao Yanga tunaenda wenyewe kama machampion sasa borongeni huko msimu ujao mtulie hapa nyumbani maana msimu huu Yanga atuachi kitu
 
Mapokezi fc
 
kwa hiyo km kaizer alifeli kwenye ligi ya kwao ndiyo simba ikawa na advantage Sasa wewe lawama zako kwa Simba ni zipi.

Unaongea as if Simba ndiyo sababu ya kaizer kushika nafasi ya Saba au km siyo Simba Kaizer angeingia kumi bora.

Sijaelewa hoja yako ni ipi hapa. Au ndiyo Uzuzu wenyewe.

Utopoloni hakuna mwenye akili.
 
Mkuu keshokutwa hapo lupaso stadium lazima nikupasue
Wewe wasema. Baada ya dakika 90 tuje hapa kila mmoja na thread yake sawa .. na mechi ya jmos ya kawaida tu maana tunashinda kama kawaida hatuna cha kupoteza tunacheza na timu ndogo tu
 
Hii ni tweet ya mlevi mmoja ambaye alikuwa bar tu baada ya kunywa dompo ......

Hata Mimi naweza panga list ya club Bora Africa na nikapost ..
Chang'aa ikishapanda kichwani utashindwaje wakati wewe ni Zuzu.

Dompo Vs Gongo🤣🤣
 
kawaida ya watu wenye malengo madogo wanawaza vitu vidogo vidogo.

Unawaza mechi moja ukidhani ndiyo kigezo Cha kuwa juu ktk viwango vya CAF.

Kwa Simba mechi ya Jumamosi Ni sawa na mechi nyingine ya Biashara, Dodoma jiji, namungo na geita.

Unaweza kushinda hiyo jumamosi lkn ubingwa bado si wako.

Mazuzu cjui mnawazaje.
 
Weka source ya hii taarifa yako kama hakuna wewe ni 0 brain.
 
Mdada mzuriiiiii km wewe kwanini unajipa mateso ya kuishabikia utopwinyo.. hupendezei kuwa huko😂😂😂😂
Achana na sisi bana, siwezi shabikia mikia mna masifa sana, tukutane tar 11, kimoko tu kinawatosha😂
 
hivi hujui kodi alizokuwa anakwepa kupitia home shopping center au ulikuwa hujahamia mjini
 
Hii ni tweet ya mlevi mmoja ambaye alikuwa bar tu baada ya kunywa dompo ......

Hata Mimi naweza panga list ya club Bora Africa na nikapost ..
Wote humu ukiwaomba official link juu ya hiyo list wanapotea, wanaokoteza vi list vya wachambuzi wa insta wanakwambia list imetoka [emoji3] ukienda CAF website holla [emoji3]
 
Brother.. mimi nina ombi moja, tuwekee link hapa toka kwenye official web ya CAF tuangalie, haya mengine tutajadili baadae, weka link tu
 
Brother.. mimi nina ombi moja, tuwekee link hapa toka kwenye official web ya CAF tuangalie, haya mengine tutajadili baadae, weka link tu
Atapata wapi wakati uwezo wake wa kufikiri ni mdogo.

Mwenye akili atajiuliza kipindi kilichopita Simba alikuwa wa 6 alafu taarifa hizo hazikuwepo na kipindi hiki amebakia nafasi hiyohiyo ya 6.
 
Halafu eti Simba SC inakwenda kucheza na Gongowazi iliyoshika nafasi ya 389

Duniani hakuna usawa..!
Jiondoe kwenye kundi la kuamini uzushi kirahisi kama hivi. Hata kama Simba ni wazuri ndo wawe wa 6 Afrika kwa sasa wakati kuna timu zaidi ya 20 zimefuzu juu zaidi yake? Sina ushabiki wa Usimba na Uyanga lakini huwa sipendi uzushi.
 
Tumia akili bana, haiwezekani kipindi kilichopita hao Simba walikuwa wa 6 alafu watu wasijue afadhali ungekaa kimya ili ufiche ujinga wako.
 

Chanzo cha takwimu ninayoijua mimi ambayo ni official haijaiweka simba katika nafasi ya sita. Kama unayo official rank kutoka CAF tuwekee link hapa.

Kuhusu kushuka kiwango ni kwamba point zinazotolewa kwenye klabu bingwa na kwenye shirikisho ni tofauti. Kwenye shirikisho point zinakuwa chini yaani ukishika nafasi ya mwisho kwenye kundi unapata point 0.5 *5 wakati kwenye klabu bingwa ni point 1*5. Hivyo unaona simba imeenda kucheza mashindano ya ngazi ya chini kuliko msimu uliopita. Ili simba apate point zinazofanana na alizopata msimu uliopita anabido afike nusu fainali kwenye shirikisho. Na pia kwenye rank itategemea timu zingine zitafanya nini, kumbuka tu kwamba Kaizer chiefs ndani ya miaka mitano katokelezea mara moja tu lakini kapata point nyingi zaidi ya simba aliyetokeza klabu bingwa kwa misimu muwili
 
Jiondoe kwenye kundi la kuamini uzushi kirahisi kama hivi. Hata kama Simba ni wazuri ndo wawe wa 6 Afrika kwa sasa wakati kuna timu zaidi ya 20 zimefuzu juu zaidi yake? Sina ushabiki wa Usimba na Uyanga lakini huwa sipendi uzushi.
Mkuu huwa naona comments zako nyingi unasema hauna ushabiki wa Simba na Yanga,

Lakini kwa kukufatilia kwangu wewe ni mwanayanga mzuri tu, sasa sijui huwa unatanguliza kauli za hauna ushabiki wa usimba na uyanga ili upate nini, si useme tu wewe ni Yanga, kwani kuna atakayekuua??
 
Skia ww, naweza kuwa na elimu kukuliko alafu uhalisia tu hv vitu hata sinvya kuhitaji elimu hata standard 7 anaelewa michongo.. Mimi hata kama ni Yanga damu sijawahi jisifia kuwa club yangu ni kongwe na ha kihistoria, For now naamini club yangu ni Imara na Inaupiga mwingi kama Rais wangu mam Samia huyo kolos waliomweka namba 6 Hana uwezo wa kuifika Yanga for now na ranks zao wapeleke huko kwenye Viba100.

Naendeleza kukukumbusha tu kesho kutwa kipigo kipo palepale kwa Mkapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…