Villa squad wamefanya kitu kibaya sana, pole kwa wanamsimbazi wenzangu.
 
Hii, nifundisho, dharau zilikuwa zimezidi: sasa Kiyovu inatusubiri.
 
Ok tukubali na kuwapongeza villa. Wakiwa 9 tu wamecheza vizuri sana kulinda goli lao kwa zaidi ya saa nzima.
 
Wakuu kuna mtu amenionea Saint Ivuga?......

Naomba atakayeonana nae anifikishie rambi rambi zangu...
 
ok tukubali na kuwapongeza villa. Wakiwa 9 tu wamecheza vizuri sana kulinda goli lao kwa zaidi ya saa nzima.

kiyovu si mtapigwa tisa kwa style hii aiseee kazi mnayo
 
Balatanda: leo unatuambiaje wana Msimbazi; tunalala mapema tena au hii weekend ni yetu!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…