Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Villa squad wamefanya kitu kibaya sana, pole kwa wanamsimbazi wenzangu.
 
Hii, nifundisho, dharau zilikuwa zimezidi: sasa Kiyovu inatusubiri.
 
Ok tukubali na kuwapongeza villa. Wakiwa 9 tu wamecheza vizuri sana kulinda goli lao kwa zaidi ya saa nzima.
 
Wakuu kuna mtu amenionea Saint Ivuga?......

Naomba atakayeonana nae anifikishie rambi rambi zangu...
 
Back
Top Bottom