niwashukuru clouds tv maana nimeangalia timu yangu nikiwa huku unyamwezini live. waiter lete double JACK DANIEL"S , USISAHAU KUWEKA NA ICE
we ulitaka lkn si rahisi matakwa yako kuwa sahihi; Simba mpira wanaujua.hongereni ila nilikuw nataka simba ifungwe..
we ulitaka lkn si rahisi matakwa yako kuwa sahihi; Simba mpira wanaujua.
Jamani ingawa tunashangilia ushindi mim simu yangu inanisumbua kwenye net kwahiyo naomba msaada wa kuflash simu kwa kutumia namba na samsung c3010
Hii si timu ya kuipiga Simba tano; labda siku hiyo wachezaji wa Simba wawe wamelewa.kwa mchezo ule lazima uko kwao mtapigwa tano hivi mje na stori zingine..
Hii si timu ya kuipiga Simba tano; labda siku hiyo wachezaji wa Simba wawe wamelewa.
Angurumapo Simba, mcheza nani?