Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Asante Mungu kwa kusikia sala za wanasimba na watanzania.Bado tunaendelea kuomba uwe upande wetu kwenye game ya away
 
Wale waliosema simba huwa haifui dafu mbele ya waarabu waseme na leo hahahah. Na bado tukienda algeria tunampiga mtu hukohuko kwao. Tukishindwa tutarudi na draw.
 
niwashukuru clouds tv maana nimeangalia timu yangu nikiwa huku unyamwezini live. waiter lete double JACK DANIEL"S , USISAHAU KUWEKA NA ICE

kuwa makini waiter asiwe mshabiki wa yang watakumwakyembe
 
Jamani ingawa tunashangilia ushindi mim simu yangu inanisumbua kwenye net kwahiyo naomba msaada wa kuflash simu kwa kutumia namba na samsung c3010
 
Jamani ingawa tunashangilia ushindi mim simu yangu inanisumbua kwenye net kwahiyo naomba msaada wa kuflash simu kwa kutumia namba na samsung c3010

ukiipeleka hii mada kwa kule jukwaa la tech utapata msaada wa haraka.
 
Hii si timu ya kuipiga Simba tano; labda siku hiyo wachezaji wa Simba wawe wamelewa.

Hawawezi kuwa wamelewa kwani Walevi peke yao upande wa pili ndomana hurusha ngumi. huko pia tunaenda kurusha Makombora mengine kwa wasaliti wa GDF.
 
Back
Top Bottom