Hongera Mnyama simba mbele kwa mbele kazi moja tu ni kushinda mechi zote zinazowakabiri.Mungu awasaidie tupo nguvu moja hadi CAF
 
Safi sana wachezaji wa Simba,kocha, vgz na wanachama kwa kweli mnatupa raha mashabiki.Tunawaombea muwe na nguvu hiyo hiyo kwenye mechi zote zilizoko mbeleni yenu.
 
mnyamaaaaaaaaaaaaaaaa...hahahaha...ule mshuti wa okwi waarabu wote kimyaaaaaa
 
Waungwana leo mbona kimya au mimi ndio nimekosea kusoma latiba, Crashwise we need u here pls Mkuu
 
Waungwana leo mbona kimya au mimi ndio nimekosea kusoma latiba, Crashwise we need u here pls Mkuu
hapana hujakosea: kipute kinaendelea Uwanja wa Taifa na Mnyama tayari anaogoza kwa goli 1 mfunganji ni Mafisango; na sasa hivi ni dk ya 22 kipindi cha kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…