PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 444
Shukrani kwa Mafisango.simba anaongoza goli moja kupitia kwa mafisango..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani kwa Mafisango.simba anaongoza goli moja kupitia kwa mafisango..
Dk ya ngapi mkubwa.
Hongera Mnyama simba mbele kwa mbele kazi moja tu ni kushinda mechi zote zinazowakabiri.Mungu awasaidie tupo nguvu moja hadi CAF
Simba 2 JKT-Ruvu 0 wako ''Halftime'' sasa hivi.
Simba 3 na JKT-Ruvu 0Asante kwa update
Safi sana mnyama
hapana hujakosea: kipute kinaendelea Uwanja wa Taifa na Mnyama tayari anaogoza kwa goli 1 mfunganji ni Mafisango; na sasa hivi ni dk ya 22 kipindi cha kwanzaWaungwana leo mbona kimya au mimi ndio nimekosea kusoma latiba, Crashwise we need u here pls Mkuu
pamoja mkuuhapana hujakosea: kipute kinaendelea Uwanja wa Taifa na Mnyama tayari anaogoza kwa goli 1 mfunganji ni Mafisango; na sasa hivi ni dk ya 22 kipindi cha kwanza