Pamoja sana mkuu kesho nitakuwa sheikh Amri Abeid kuwaletea mechi ya kirafiki kati ya Simba na FC Leopard ya kenya....[/QUOTE
Sidhani kama AFC Leopard watakuwa wamekuja tz kwa sababu walipewa taarifa za kukosekana viwanja vya kuchezea mechi ya simba na pia mechi yao na yanga siku ya jumanne haitakuwepo
hizo Updates kutoka Arusha ni muhimu sana kuzipata Mkuu; nakutakia Afya njema.Pamoja sana mkuu kesho nitakuwa sheikh Amri Abeid kuwaletea mechi ya kirafiki kati ya Simba na FC Leopard ya kenya....
Yanga wanachojua ni fitina na kurubuni wachezaji wa Simba ili wawahamishie kwao, lakini mbinu za kuibua vipaji vipya hawana; wapo tu kiroho kinawadunda kila siku kuiombea mabaya Simba wakisahau kwamba ''Mtenda jamala kuwa naye ulipwa jamala''Mavuvuzela ya Jangwani hakuna hata moja limeweza kupost utadhani hapakuwa na mechi ya fainali leo, roho inawauma, wakiangalia timu ya wakubwa imekamilika, timu ya madogo kama ya wakubwa, timu ya wanawake balaa, timu ya wabunge nayo ni nzuri mno, maveterani wa Simba ni noma, hata timu yetu washabiki nayo inatisha mno; Kweli kuna siku kila mtu atashabikia Simba.
Sasa ngoja tusubiri maandamano ya kufunga mitaa ya jiji kusheherekea ubingwa!maana ndio zenu simba kakombe kadogo huwa mnafunga mitaa ya jiji,wenzenu yanga mmeona wamechukua ndoo ya kimataifa juzi lakini hakuna mtaa uliofungwa maisha yanaendelea labda wachukue ndoo ya africa ndio wanaweza kufikiria kufunga mitaa sio vikombe vya mbuzi
Anapata ''Bongo Wine'' we unashangaa.huyu wanamuita professional player jina utatoa mwenyewe..
juma nyoso aliingia baada ya beki wa kimataifa keitta kuumia na kutolewa..kwa timu tulionayo wana simba hakuna haja ya kuogopa kelele za watani maana timu imekamilika leo tuliwakosa mawika hatari aka mapacha okwi na Ngasa..
Mkuu Crashwise heshima mbele! Hebu nipe mwongozo kidogo, hivi huyo Keita anakuwa ni mtu wa sita kwa wachezaji wa nje na kanuni zinasema wachezaji watano kwa timu ndo wanaotakasajiliwa kutoka nje sasa hadi sasa sisi tumesajili watano, Sunzu, Okwi, Mudde, Daniel na Ocheng sasa huyo Keita itakuwaje?juma nyoso aliingia baada ya beki wa kimataifa keitta kuumia na kutolewa..kwa timu tulionayo wana simba hakuna haja ya kuogopa kelele za watani maana timu imekamilika leo tuliwakosa mawika hatari aka mapacha okwi na Ngasa..
Ni kweli Keitta ni wa sita lakini kutoka na simba kuhitaji beki zaidi wameamua kumuacha Mussa Mude ila atalipwa mshahara kama wachezaji wengine, hii imetokana yeye kuwa majeruhipia majeruhi yatakayo muweka benchi kwa muda wa miezi4 ndiyo awe fit...Mkuu Crashwise heshima mbele! Hebu nipe mwongozo kidogo, hivi huyo Keita anakuwa ni mtu wa sita kwa wachezaji wa nje na kanuni zinasema wachezaji watano kwa timu ndo wanaotakasajiliwa kutoka nje sasa hadi sasa sisi tumesajili watano, Sunzu, Okwi, Mudde, Daniel na Ocheng sasa huyo Keita itakuwaje?
Kiwango cha Boban hapa Tanzznia sijaona...huo ndiyo ukweli tuache unafiki Boban mpira ana ujua...huyu wanamuita professional player jina utatoa mwenyewe..
Asante mkuu.Ni kweli Keitta ni wa sita lakini kutoka na simba kuhitaji beki zaidi wameamua kumuacha Mussa Mude ila atalipwa mshahara kama wachezaji wengine, hii imetokana yeye kuwa majeruhipia majeruhi yatakayo muweka benchi kwa muda wa miezi4 ndiyo awe fit...