ki-mchezo na kiufundi Simba wanacheza vizuri, ila nashangaa style wanayotumia Azam - mpira unatoka kwa kipa 'Dida' mara hoo muda huohuo tayari unakua umemfikia Kaseja. ..what kind of playing bwana!!!.
watu wanatafuta magoli tu basi hakuna burudani...
 
....Haya sasa hakuna na Muganyizi wala Mukamwana, leteni hizo tigo mlizoahidi kugawa bure hapa... kwi kwi kwikwi :evil:
 
kuna jamaa yeye amemwahidi John Boko kumpa tigo sasa sijui atampa au kwa kuwa wamefungwa amegaili mpaka siku nyingine...
 
Hongereni naona mmejitahidi kufuta uteja. Basi tutakutana wakubwa tumalizane wenyewe. Na hiyo beki yenu tutapiga 7
 
Huu ushabiki umeuanzia uzee ndiyo maana una kusumbua azam mechi ya mwisho tulimfunga goli 2 - 1 sasa neno mteja lina toka wapi?, kabla ya hapo alitufunga 3-1 lakini ikumbukwe kwenye kombe la urafiki tulimfuga kwenye matuta.....
 
...Ahhh lete kwanza hiyo kitu ya waifu basi si umetoa ofa mwenyewe ? Ukishindwa basi vijana watavizia masaburi..... !!!

Usinitajie mechi za bonanza hapa. Ila zile tatu za Kagame huzikumbuki mtani?
 
Ile aliahidiwa Bocco akiwapiga goli nne.. masharti hayajatimia. Mbona watu mna ukame hivi?? Hebu ingia jukwaa la Love Connect ukajiopolee kimwana aisee
 
Usinitajie mechi za bonanza hapa. Ila zile tatu za Kagame huzikumbuki mtani?
waifu wako kapone chupuchupu kuliwana Bocco, inabidi utushukru simba kwa kumwokoa mkeo ungekuta anamimba mida hii, Vipi tarehe 03.10.12 unaahidi nini?
 
Mchezesheni Ochieng na mgeni mwenzie pale beki ya kati, tutapiga 7.
 
....kazi nzuri sana imefanyika leo ushindi wa Simba wa goli 3 kwa 0 zidi ya African Lion siyo mchezo na ukizingatia kuwa ndo ligi imeanza. Hongera sana Wana-msimbazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…