PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 444
...ngoja wakalale mapema nao, walikuwa wamezoea.hahahahahahahaah....wameanza kulikimbia jukwaa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...ngoja wakalale mapema nao, walikuwa wamezoea.hahahahahahahaah....wameanza kulikimbia jukwaa....
watu wanatafuta magoli tu basi hakuna burudani...ki-mchezo na kiufundi Simba wanacheza vizuri, ila nashangaa style wanayotumia Azam - mpira unatoka kwa kipa 'Dida' mara hoo muda huohuo tayari unakua umemfikia Kaseja. ..what kind of playing bwana!!!.
ukisoma post zao page zilizo pita wametukana sana.....hawakujua kama simba taifa kubwa na mpira ni dakika 90.......ngoja wakalale mapema nao, walikuwa wamezoea.
kuna jamaa yeye amemwahidi John Boko kumpa tigo sasa sijui atampa au kwa kuwa wamefungwa amegaili mpaka siku nyingine.......Haya sasa hakuna na Muganyizi wala Mukamwana, leteni hizo tigo mlizoahidi kugawa bure hapa... kwi kwi kwikwi :evil:
Nani kavalishwa....?Azam 2 - 0 Simba . Goli la pili katupia Kipre TcheTche kazi nzuri ya Boko.....teheteheteh. Raha kutangaza matokeo ya mwenzako hasa kama kazalishwa!!!!!!
Kwa kuwa haja shinda kampe hata ashike shike tu....hahahahJohn Bocco leo wapige goal nne, ntajitolea hata my wife wangu uonje kidogo :lol:
Huu ushabiki umeuanzia uzee ndiyo maana una kusumbua azam mechi ya mwisho tulimfunga goli 2 - 1 sasa neno mteja lina toka wapi?, kabla ya hapo alitufunga 3-1 lakini ikumbukwe kwenye kombe la urafiki tulimfuga kwenye matuta.....Hongereni naona mmejitahidi kufuta uteja. Basi tutakutana wakubwa tumalizane wenyewe. Na hiyo beki yenu tutapiga 7
Hongereni naona mmejitahidi kufuta uteja. Basi tutakutana wakubwa tumalizane wenyewe. Na hiyo beki yenu tutapiga 7
Huu ushabiki umeuanzia uzee ndiyo maana una kusumbua azam mechi ya mwisho tulimfunga goli 2 - 1 sasa neno mteja lina toka wapi?, kabla ya hapo alitufunga 3-1 lakini ikumbukwe kwenye kombe la urafiki tulimfuga kwenye matuta.....
...Ahhh lete kwanza hiyo kitu ya waifu basi si umetoa ofa mwenyewe ? Ukishindwa basi vijana watavizia masaburi..... !!!
waifu wako kapone chupuchupu kuliwana Bocco, inabidi utushukru simba kwa kumwokoa mkeo ungekuta anamimba mida hii, Vipi tarehe 03.10.12 unaahidi nini?Usinitajie mechi za bonanza hapa. Ila zile tatu za Kagame huzikumbuki mtani?
waifu wako kapone chupuchupu kuliwana Bocco, inabidi utushukru simba kwa kumwokoa mkeo ungekuta anamimba mida hii, Vipi tarehe 03.10.12 unaahidi nini?
waifu wako kapone chupuchupu kuliwana Bocco, inabidi utushukru simba kwa kumwokoa mkeo ungekuta anamimba mida hii, Vipi tarehe 03.10.12 unaahidi nini?
Mchezesheni Ochieng na mgeni mwenzie pale beki ya kati, tutapiga 7.