Mkuu naomba nikushtaki kwa kusababisha nyufa katika mbavu zangu.....Samahani hii si mahali pake lakini nauliza tuu, jee wale waliokuwa wanaenda Mauritius wamefanikiwa? Maana kuna mtu kaniambia baada ya kukosa usafiri wa pipa walipewa MV Dar es salaam ile ya saa 3 mpaka Bagamoyo? Ila mpaka huko si watafika jumatano na refa kesha ondoka
Leo kaiosakosa tena...Kiiza hii sasa sifa je asingekuwa nje ya uwanja mechi kadhaa leo hii si angetumalizia mipira yetu TFF kwa hat trick zake
Kwaa kwaa kwaa kwaaMakofi tafadhali
Ila na yanga lazima atatupia.Leo kaiosakosa tena...
Kwenda zako...Poleni ndugu jamaa na marafiki.
Mkuu unamwamini Banda? Mbona mazingira ya kupewa kwake kadi yaliruhusu wachezaji wengine kusikia kilichosemwa? Napata shida kuelewa ni wakati gani alitamkiwa maneno hayohakukuwa na kosa la kumlaumu kocha... Hata wachambuzi ninao waamini Edo Kumwembe na Saleh Ally Wameizungumzia Ile Penalty kwa Marefu sana... Na kwa mujibu wa Abdil Banda mwenyewe ni kwamba refa alimwambia kabisa kuwa nilikuwa nakutafuta wewe Au Juuk Mushid. Kwa maneno hayo ni ujinga kuendelea kumsifia refa kwa kuwa ameharibu ladha na utamu wa mpira kwa ujinga na upumbavu wake.
Klmsimba ni sawa na jike lililovaa Dera chukuchuku halina gagulo wala cchupi...so upepo ukija tu mambo mwa mwa mwaaaa...
sasa Juzi upepo ulivuma mara mbili na kisha Ngoma na Tambwe wakautumia vema kulichomeka myuuu