Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Samahani hii si mahali pake lakini nauliza tuu, jee wale waliokuwa wanaenda Mauritius wamefanikiwa? Maana kuna mtu kaniambia baada ya kukosa usafiri wa pipa walipewa MV Dar es salaam ile ya saa 3 mpaka Bagamoyo? Ila mpaka huko si watafika jumatano na refa kesha ondoka
Mkuu naomba nikushtaki kwa kusababisha nyufa katika mbavu zangu.....
 
Nilisema mwanzo mechi yetu zidi ya bondeni Fc ndo itakua mtihani wa mayanja ila kwa matokeo ya juzi tutasikia tuu kocha mpya wa kigeni tunafanya nae mazungumzo na mayanja kuwa kocha msaidizi kama mkataba wake unavyosema!
 
hakukuwa na kosa la kumlaumu kocha... Hata wachambuzi ninao waamini Edo Kumwembe na Saleh Ally Wameizungumzia Ile Penalty kwa Marefu sana... Na kwa mujibu wa Abdil Banda mwenyewe ni kwamba refa alimwambia kabisa kuwa nilikuwa nakutafuta wewe Au Juuk Mushid. Kwa maneno hayo ni ujinga kuendelea kumsifia refa kwa kuwa ameharibu ladha na utamu wa mpira kwa ujinga na upumbavu wake.
 
Mkuu unamwamini Banda? Mbona mazingira ya kupewa kwake kadi yaliruhusu wachezaji wengine kusikia kilichosemwa? Napata shida kuelewa ni wakati gani alitamkiwa maneno hayo
 
lazima tumuamini kwa kuwa yeye ndio alisimama na mwamuzi haijalishi kama kulikuwa na Wachezaji wengine au Vipi.. Ni upuuzi kuiacha Rafu ya Mbuyi twite kwa Shabalala harafu unakwenda kutoa kadi kwa mtu aliyesukuma kwa bega kisha kujirusha. Nadhani kama aliiangalia mechi Ya Jana kati ya Chelsea na Man city atakuwa amejifunza kitu kuhusu utoaji wa kadi..
 
Nasikia wamekupiga mbili kwa mbinde kweli....kila wakikuinamisha unainuka kila wakikuinamisha unainuka ila walikupiga mbili....kwa mbinde kweliiii....walifikiri wangekupata kirahisi rahisi
 
simba ni sawa na jike lililovaa Dera chukuchuku halina gagulo wala cchupi...so upepo ukija tu mambo mwa mwa mwaaaa...

sasa Juzi upepo ulivuma mara mbili na kisha Ngoma na Tambwe wakautumia vema kulichomeka myuuu
 
Klm
 
Back
Top Bottom