Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mkuu mpaka usawazishe ndiyo unakuja?Hahahahahahahahah Shadeeya nipo hapa tayari Mtani,Mwadui hachomoki kivyovyote vile.
NimemuonaKashakuja hapo juu. πππ
Mwingine kaongezeka. πππππNimemuona
Wakae hapa muda wote sasaMwingine kaongezeka. πππππ
Ujue kuna saa nguvu zinakuwa za kuunga unga. πππWakae hapa muda wote sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Waoga hao waje watupe updates sio wanakimbia uzi wao.
#Mujesasagolitayari.
πππ Kuna mwenzie namtafuta sijui yuko wapi saa hii.Mkuu mpaka usawazishe ndiyo unakuja?
Ngapi ngapi kwani Mkuu huku kwangu luku imeisha. π
πππTuondoke tutarudi Mwadui wakipata goli la 2Ujue kuna saa nguvu zinakuwa za kuunga unga. πππ
Waje wenyewe si tumedandia tu hapa.
πππanasubilia 90'
Kabisaaa tuondoke zetu Mkuu. ππππππππTuondoke tutarudi Mwadui wakipata goli la 2
Uwe unaweka na updates za matokeoDakika 45 za kipindi cha pili zimeanza
Sawa,nasubilia Mwadui wapate goli tu.....nimekuja kuwapa support Mwadui hapa TaifaKabisaaa tuondoke zetu Mkuu. πππππ
Nimecheka kwa sauti. Lol.