Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mkuu mpaka usawazishe ndiyo unakuja?Hahahahahahahahah Shadeeya nipo hapa tayari Mtani,Mwadui hachomoki kivyovyote vile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mpaka usawazishe ndiyo unakuja?Hahahahahahahahah Shadeeya nipo hapa tayari Mtani,Mwadui hachomoki kivyovyote vile.
NimemuonaKashakuja hapo juu. 😀😀😀
Mwingine kaongezeka. 😂😂😂😂😂Nimemuona
Wakae hapa muda wote sasaMwingine kaongezeka. 😂😂😂😂😂
Ujue kuna saa nguvu zinakuwa za kuunga unga. 😂😂😂Wakae hapa muda wote sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Waoga hao waje watupe updates sio wanakimbia uzi wao.
#Mujesasagolitayari.
😂😂😂 Kuna mwenzie namtafuta sijui yuko wapi saa hii.Mkuu mpaka usawazishe ndiyo unakuja?
Ngapi ngapi kwani Mkuu huku kwangu luku imeisha. 😎
😂😂😂Tuondoke tutarudi Mwadui wakipata goli la 2Ujue kuna saa nguvu zinakuwa za kuunga unga. 😂😂😂
Waje wenyewe si tumedandia tu hapa.
😂😂😂anasubilia 90'
Kabisaaa tuondoke zetu Mkuu. 😂😂😂😂😂😂😂😂Tuondoke tutarudi Mwadui wakipata goli la 2
Uwe unaweka na updates za matokeoDakika 45 za kipindi cha pili zimeanza
Sawa,nasubilia Mwadui wapate goli tu.....nimekuja kuwapa support Mwadui hapa TaifaKabisaaa tuondoke zetu Mkuu. 😂😂😂😂😂
Nimecheka kwa sauti. Lol.